hii kitu hakunaga mahali popote duniani,ni tanzania pekee

bora hao wanapita kwenye lami!jee ambulance za bajaj barabara za kiteto,ludewa,ngara?
 
Hiyo kawaida tu mbona!Zanzibar watu wanapanda mikokoteni inayovutwa na ng'ombe na hakuna anayeshangaa.
 
nchi gani inaruhusu? tena hio ikitokea ulaya na marekan ni kashfa kubwa ata mkuu wa police anaweza kujiuzuru

Kwenye Boot mtu anaweza kukaa mkuu, huwa watu hawakai kwa vile tu ule mlango wa Boot huwa waleta usumbufu...
 
Hiyo kawaida tu mbona!Zanzibar watu wanapanda mikokoteni inayovutwa na ng'ombe na hakuna anayeshangaa.

lakin mkuu iki ni kinyume na haki za binadamu sijui tanzania lakin ninavyojua kwa marekan hii ni kashfa inayoweza fanya mkuu wa police kujiuzuru
 
hapo vipi
images
 
lakin mkuu iki ni kinyume na haki za binadamu sijui tanzania lakin ninavyojua kwa marekan hii ni kashfa inayoweza fanya mkuu wa police kujiuzuru
Tanzania yenye neema kila kitu kinawezekana,huku hata mtu afanye utumbo gani hakuna kujiuzuru
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom