Hii kitu bado inauzwa hapo dares-salaam mjini? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hii kitu bado inauzwa hapo dares-salaam mjini?

Discussion in 'JF Chef' started by MziziMkavu, Sep 25, 2012.

 1. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #1
  Sep 25, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,007
  Likes Received: 3,614
  Trophy Points: 280
  Hii Kitu nimekula miaka 40 iliyopita wakati nilikuwa ninakwenda shule Mjini hapo Dares-salaam mpaka leo bado wanaichoma hapo mjini jamani nauliza?


  [​IMG]  Sukuma siku mbele.... Udenda unanitoka nime i miss siku nyingi jamani.................................
   

  Attached Files:

 2. B

  BARRY JF-Expert Member

  #2
  Sep 25, 2012
  Joined: Oct 21, 2009
  Messages: 263
  Likes Received: 65
  Trophy Points: 45
  Acha uswahili wewe, inachomwa sana na itachomwa hadi mashamba yageuzwe kuwa viwanja
   
 3. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #3
  Sep 25, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,007
  Likes Received: 3,614
  Trophy Points: 280
  Mkuu BARRY Yakhe usikasirike mimi ninauliza nipate kujuwa ninasikia watu wameipa jina eti (Sukuma siku mbele) mimi ninaijuwa kwa jina la Mihogo kumbe kuna jina lingine ?Wewe unakula bado hiyo sukuma siku mbele? :smile-big:
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 4. Philipo Kidwanga

  Philipo Kidwanga Verified User

  #4
  Sep 25, 2012
  Joined: Jul 12, 2012
  Messages: 2,063
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  na siku hizi wasio na mbegu za kutosha huila mibichi wakiambiana kwamba inaongeza nguvu ya kushughulika.wanaiita stata.
   
 5. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #5
  Sep 25, 2012
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 20,629
  Likes Received: 3,131
  Trophy Points: 280
  Bado ipo ila wameongeza na chai ya tangawizi siku hizi

  [​IMG]

  [​IMG]

  [​IMG]
   
 6. Mandown

  Mandown JF-Expert Member

  #6
  Sep 25, 2012
  Joined: Apr 8, 2012
  Messages: 1,567
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 145
  masikini HADEKI!!
   
 7. Watu8

  Watu8 JF-Expert Member

  #7
  Sep 25, 2012
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 45,971
  Likes Received: 608
  Trophy Points: 280
  hiyo makitu ipo sana tu mbona...
   
 8. Blaki Womani

  Blaki Womani JF-Expert Member

  #8
  Sep 25, 2012
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 7,975
  Likes Received: 3,012
  Trophy Points: 280
  ipo sana ukipata na pilipili ya kusaga na limao daaah safi MziziMkavu nitakutumia kwa EMS
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 9. M

  Mundu JF-Expert Member

  #9
  Sep 25, 2012
  Joined: Sep 26, 2008
  Messages: 2,719
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Complementary goods
   
 10. MadameX

  MadameX JF-Expert Member

  #10
  Sep 26, 2012
  Joined: Dec 27, 2009
  Messages: 7,846
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 145
  Kuna watu wamekula chumvi nyingi, 40yrs wao ndo school boys mmmmh
   
 11. The Pen

  The Pen JF-Expert Member

  #11
  Sep 26, 2012
  Joined: Dec 31, 2010
  Messages: 764
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  MziziMkavu, mbona wewe ni mchokozi sana wa tumbo langu! Inanibidi sasa niisake kabla giza halijaingia.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 12. Kabembe

  Kabembe JF-Expert Member

  #12
  Sep 26, 2012
  Joined: Feb 11, 2009
  Messages: 1,969
  Likes Received: 604
  Trophy Points: 280
  Kaka ukipata hiyo kwa mtindi hutaachana nayo milele!
   
 13. r

  rakeyescarl JF-Expert Member

  #13
  Sep 28, 2012
  Joined: Dec 9, 2007
  Messages: 400
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Duuuh,ukienda coco beach nasikia ndio kwao,ipo ya kila design. Sasa hiyo chuma ilivyo na kutu ndio raha yake nasikia.Uswazi raha!
   
 14. Jiwe Linaloishi

  Jiwe Linaloishi JF-Expert Member

  #14
  Oct 8, 2012
  Joined: May 24, 2008
  Messages: 3,710
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 145
  muogo wa jangombe ukiupata kwa kachumbarii ya ukweli mbona siku zinasonga...
   
 15. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #15
  Oct 25, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,007
  Likes Received: 3,614
  Trophy Points: 280
  [​IMG]
   
 16. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #16
  Oct 25, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,007
  Likes Received: 3,614
  Trophy Points: 280
  Na hii kitu bado wanaichoma mitaani?

  [​IMG]
   
 17. j

  jmushi1 JF-Expert Member

  #17
  Oct 25, 2012
  Joined: Nov 2, 2007
  Messages: 16,141
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  Naizimia sana hiyo mavitu,mahindi ya kuchoma na mihogo either ya kuchoma,deep fried,ama ya kuchemsha/kupika na nazi!mmmh!yum yum!mkuu huko ugiriki haipatikani?huku wamexicana wanayo na huwa naenda kuinunuwa sometimes,huku hadi viazi vitamu kwa san tu!
   
 18. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #18
  Oct 25, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,007
  Likes Received: 3,614
  Trophy Points: 280
  mkuu jmushi1 nasikia hiyo Biashara ya Mahindi na Mihogo ya Kuchoma wameiingilia sana Wachina ndio wauza wakuu Je ni Kweli?
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 19. Safety last

  Safety last JF-Expert Member

  #19
  Oct 25, 2012
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 4,224
  Likes Received: 150
  Trophy Points: 160
  Tamuu sana
   
 20. Duduwasha

  Duduwasha JF-Expert Member

  #20
  Oct 25, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 3,914
  Likes Received: 849
  Trophy Points: 280
  Hiyo chenza tu ndio huwa na msimu lakini Mahindi ni hayana msimu yanauzwa kila day.... Nilikuwa nala hadi meno yakawa yananuma nikapunguza
   
Loading...