Hii kitu bado inachomwa mabarabarani?

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,299
33,082
66207_396665703737540_37952104_n.jpg


Bado ipo na inachomwa kwenye mitaa hiyo kitu jamani? Nyakati kama Hizi......
 
Mkuu umenifanya nimekumbuka sana nyumbani,maana hapa nilipo kitu "orijino" kama hicho hakipo kabisa
 
Inachomwa bhana,kwani hata wewe hapo si umenunua barabarani au?
 
MziziMkavu wacha bana utawafanya watu wengine mate yawadondoke hapa tumemiss sana hiyo kitu eti
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom