Hii Kisayansi imekaaje?

Kigarama

JF-Expert Member
Apr 23, 2007
2,492
1,230
kuna Imani miongoni mwa wanawake kwamba wanawake wenye "mbano" wanapendwa zaidi na wanaume kuliko wale "zilizopwaya" lakini kwa wanaume nako kuna imani kwamba wale wenye "ndefu, nene" ndiyo wanaopendwa zaidi na wanawake kwani huwa wanawafikisha zaidi kuliko wenye "fupi, nyembamba".

Dhana hizi mbili zimesababisha kwamba wanawake wanatafuta dawa (hata za kichina) kuwasaidia ili "zibane" wakati huo huo wanaume kwa upande wao hutafuta dawa ili ziwe 'ndefu,nene". Hapa lengo kuu huwa ni kufikishana na si kukomoana. lakini hili swala kisayansi likoje?

Ni kweli wenye "ndefu,nene" ndiyo huwafikisha wanawake kileleni kuliko wenye "fupi,nyembamba? Na jee ni kweli kwamba wanawake wenye "zilizopwaya" hawana ubavu wa kuwafurahisha wanaume kuliko wale wenye "mbano? Sayansi ya ngono inatuambiaje. Ni mchango kiasi gani maumbile yetu yanasaidia kutufikisha kileleni.

Ukitaka kujua ukubwa wa Tatizo hili angali vibao vya waganga wa kienyeji wanavyotangaza kuwa na dawa za kubana au kurefusha!!
 
Inaweza ikawa mbano ,lakini kama ya mwanamme ni mtepeto huo mbano utatoka wapi? kawaida hakuna ya mwanamke inayopwaya
 
Haya bwana kama ni mtepeto kama unavyosema mwanaume ataridhishwa kuliko ile inayobana?
 
usiwaamini hao na ridhika na ulicho nacho na kitumie kwa kadri inavyopaswa maana kama hujipendi au unataka hata nguvuulizo nazo zipotee tumia hayo makitu
mkuu na issue za hivi huwa unacomment toka huku bwana
 
hili nadhani ni tatizo la kisaikolojia na stori za vijiweni kwamba ukiwa na mnato ndio unapagawishwa wanaume na mwanaume akiwa nayo kubwa au ndefu ndo anamaliza haja za mwanamke .. kinachotakiwa hapa ni wewe kama wewe kujua kutumia viungo vyako kikamilifu
 
kuna Imani miongoni mwa wanawake kwamba wanawake wenye "mbano" wanapendwa zaidi na wanaume kuliko wale "zilizopwaya" lakini kwa wanaume nako kuna imani kwamba wale wenye "ndefu, nene" ndiyo wanaopendwa zaidi na wanawake kwani huwa wanawafikisha zaidi kuliko wenye "fupi, nyembamba".

Dhana hizi mbili zimesababisha kwamba wanawake wanatafuta dawa (hata za kichina) kuwasaidia ili "zibane" wakati huo huo wanaume kwa upande wao hutafuta dawa ili ziwe 'ndefu,nene". Hapa lengo kuu huwa ni kufikishana na si kukomoana. lakini hili swala kisayansi likoje?

Ni kweli wenye "ndefu,nene" ndiyo huwafikisha wanawake kileleni kuliko wenye "fupi,nyembamba? Na jee ni kweli kwamba wanawake wenye "zilizopwaya" hawana ubavu wa kuwafurahisha wanaume kuliko wale wenye "mbano? Sayansi ya ngono inatuambiaje. Ni mchango kiasi gani maumbile yetu yanasaidia kutufikisha kileleni.

Ukitaka kujua ukubwa wa Tatizo hili angali vibao vya waganga wa kienyeji wanavyotangaza kuwa na dawa za kubana au kurefusha!!

Kama wewe ni mzinzi inayokubana haikufai mjomba mtachubuana then mtaambukizana gonjwa, ila kama siyo mzinzi umetulia na kitu chako mbanano ndiyo wenyewe mkuu.

Wazinzi wanatakiwa wakutane na zile zinazopwaya halafu iwe imetota kuanzia mwanzo mpaka mwisho!
 
kwani nini?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom