Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 74,869
- 155,822
Amuua Mkewe, Amchoma Kwa Mkaa Gunia 2 na Kuwa Majivu
JESHI la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, linamshikilia mwanamme mmoja kwa jina la Khamis Luwoga maarufu kama 'Meshack' kwa tuhuma za kumuua na kumchoma moto mke wake Naomi Marijani (36). Mwanamke huyo anadaiwa kutoweka katika mazingira ya kuta
globalpublishers.co.tz