Hii kauli ya watapangiwa kazi nyingine naona inaukakasi

NJALI

JF-Expert Member
Jan 9, 2014
1,534
1,089
Ukweli nakubaliana na Raid wetu pamoja na viongozi waandanizi wa NCHI hii kwa kazi nzuri wanazofanya kunyoosha NCHI.
.
Rais wetu amekuwa mstari wa mbele kupinga Rushwa, Uzembe kazini, Uhujumu uchumi na ukosefu wa ubunifu kwa viongozi. Hadi hapo tuko pamoja.

ATAPANGIWA KAZI NYINGINE
Hapo ndipo chanzo cha Mimi kuandika Uzi huu, kuna vigogo Rais alipo watengua amekuwa na kauli ya kuwapangia kazi zingine ambazo pia hazitaji ni za chama, serikali, wataongoza watu, watapelekwa veta?

Mfano alipo mpumzisha Chief Secretary Balozi Ombeni Sefue alisema hayo.
Kwa mama Anna Malicela pia akasema hivyo hivyo.
Leo kuna kigogo mmoja amemnyofoa hapa Mara akasema hivyo hivyo kupitia kwa Msemaji wake!!.

Sasa Mimi elimu yangu ni ndogo tena ya hapa na pale sielewi mantiki ya kumnyofoa MTU kwenye kazi yake kisha ukamuahidi kazi nyingine serikalini.

Kifamilia inaleta mantiki mfano House girl anaweza akahamishiwa getini au mapokezi.Pia mchunga ng'ombe anaweza akabadilishiwa kazi akawa mlinzi getini n.k

Mimi nichukulie ni Mwalimu wa Elimu Msingi, nimekamatwa na kabinti ninakashughulikia ofisini kwangu, red handed taarifa zikafika kwa DEO, TSD n.k Je kwa mtindo huu nitabadilishiwa kazi niwe mlinzi wa shule, Mgambo, Mtendaji wa kijiji? Au Mwalimu wa cheke chea?Au nitaondolewa moja kwa moja?

Kama nitaondolewa hawa wanao ahidiwa kazi zingine watakuwa wamewatendea haki wanao ondolewa jumla wakikosea?
 
Wa mkoa wa Mara hawajasema watampangia kazi nyingine, wa Ruvuma yeye atapangiwa kazi nyingine ofisi ya waziri mkuu
 
Wasubiri miezi miwili ipite, yeye Rais naona uzalendo umemshinda kabisa yaani kafeli kusubiri miezi miwili ndpo awapangie vituo!?. Unapomfukuza mtu kazini unampa matumaini kwamba aendako atapata kazi zingine nzuri kwahiyo asilaumu sana kwa kufukuzwa kwake; ukweli utaujua mwenyewe. Stay away Ngosha at work!
 
Hiyo ni lugha tu mkuu ili wasife kwa presha! Enzi nzetu tukiwa shule kama mtu anafukuzwa alikua anaambiwa 'tunakusimamisha shule mpaka bodi itakapokaa' kumbe ndo mzima
 
Eti wadau ile iljkuwa geresha au ndio ule usemi wa akufukuzae hakwambii ondoka moja kwa moja
Mwenye uelwa anieleweshe!
 
Siku zote Mkuu wa nchi hasemi uongo. Ni lazima watatafutiwa kazi nyingine kama alivyoahidi. Sio hao tu, hata baadhi ya waliokuwa Makatibu/Naibu Wakuu wa Wizara bado wanasubiri kupangiwa kazi nyingine. Nina uhakika JPM atatimiza ahadi yake.
 
Wametafutiwa kazi sema majibu bado nimesikia mmoja kawa balozi wa heshima soko la Tandale yule mwaingine atapewa mkoa Jecha huu ni mkoa mpya
 
Ukweli nakubaliana na Raid wetu pamoja na viongozi waandanizi wa NCHI hii kwa kazi nzuri wanazofanya kunyoosha NCHI.
.
Rais wetu amekuwa mstari wa mbele kupinga Rushwa, Uzembe kazini, Uhujumu uchumi na ukosefu wa ubunifu kwa viongozi. Hadi hapo tuko pamoja.

ATAPANGIWA KAZI NYINGINE
Hapo ndipo chanzo cha Mimi kuandika Uzi huu, kuna vigogo Rais alipo watengua amekuwa na kauli ya kuwapangia kazi zingine ambazo pia hazitaji ni za chama, serikali, wataongoza watu, watapelekwa veta?

Mfano alipo mpumzisha Chief Secretary Balozi Ombeni Sefue alisema hayo.
Kwa mama Anna Malicela pia akasema hivyo hivyo.
Leo kuna kigogo mmoja amemnyofoa hapa Mara akasema hivyo hivyo kupitia kwa Msemaji wake!!.

Sasa Mimi elimu yangu ni ndogo tena ya hapa na pale sielewi mantiki ya kumnyofoa MTU kwenye kazi yake kisha ukamuahidi kazi nyingine serikalini.

Kifamilia inaleta mantiki mfano House girl anaweza akahamishiwa getini au mapokezi.Pia mchunga ng'ombe anaweza akabadilishiwa kazi akawa mlinzi getini n.k

Mimi nichukulie ni Mwalimu wa Elimu Msingi, nimekamatwa na kabinti ninakashughulikia ofisini kwangu, red handed taarifa zikafika kwa DEO, TSD n.k Je kwa mtindo huu nitabadilishiwa kazi niwe mlinzi wa shule, Mgambo, Mtendaji wa kijiji? Au Mwalimu wa cheke chea?Au nitaondolewa moja kwa moja?

Kama nitaondolewa hawa wanao ahidiwa kazi zingine watakuwa wamewatendea haki wanao ondolewa jumla wakikosea?
Acha kufananisha kijiko na mwiko.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom