Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 15,313
- 24,171
Mkuu, uko kamati kuu ya chadema kijijini kwenu?mh mkuu acha siasa.
Mkuu, uko kamati kuu ya chadema kijijini kwenu?mh mkuu acha siasa.
Cheo chake hakimpi nafasi ya kusikika.ila makamu siku hizi hasikiki sana
Umeshajaribu kwenda kupitia kozi hata moja?Wanajeshi wenyewe wameridhika wengi vitambi vitupu, hamna jeshi hapa
Ukiwaona wembamba hao ujue ni kuruta mpya na muda si mrefu anachomoa kazi na kurudi kitaa...
Maana hata vyeo vya kukupa kitambi ni mishimise...
Sawa uko sahihi pia.Kwa CV hiyo wizara ya Mambo ya nje ndiko kungemfaa zaidi sio Ulinzi