Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 15,294
- 24,118
Alifanya mambo na tabia za ya ovyo, CDF wakati huo akamweka sawa.
Alifanya mambo na tabia za ya ovyo, CDF wakati huo akamweka sawa.
Kwa jinsi TZ ilivyo usiseme jeshi halijaingizwa siasa. Huoni akina Makamba, Mkuchika, Komba, Lowasa, na wengine akina kikwete, Maokola Majogo, Kinana, watu kibao walitoka CCM kuingizwa jeshini na wakarudi CCM?
Angalia wanajeshi kibao wakistaafu wanapewa vyeo vya CCM, usiseme jeshi halipo kisiasa sema jeshi lipo kisiasa za CCM lakini nao wangeruhusu ex military akistaafu ajiunge na upinzani wa CCM mbona mngekoma mapema sana CCM???
Maana ingekuwa kuna wafuasi wa vyama vingine pia kama walivyokomesha Ile uchaguzi wa 2015 walimnyoosha jiwe mpaka akawachukia kweli maana makambini kote CHADEMA ilikuwa inaongoza.
Hii ndio maana halisi ya JFMkuu uwa nakukubali hasa katika Logic na comparison analysis.
Mada zako uwa zinahitaji critical thinking. (negative or positive).
Yawezekana haukufuatilia kura za kwenye vituo kaabna waliokuwa wasimamizi mjomba acha kuhisi unajua. Bahati nzuri wengi ya wasimamizi wa 2015 hawatapinga hili mjomba.Inaonekana wewe ni mtu mkubwa saana hapa nchini mpaka uliweza kupita kambi zote za jeshi nchini mwaka 2015 na ukaona chadema wanaongoza, hongera saana kiongozi
Sipingi hata kidogo ila kitu ulichoongea huwezi kuthibitisha na kingine toka lini jiwe akawa na chuki na askariYawezekana haukufuatilia kura za kwenye vituo kaabna waliokuwa wasimamizi mjomba acha kuhisi unajua. Bahati nzuri wengi ya wasimamizi wa 2015 hawatapinga hili mjomba.
Hatupo hapa kuthibitisha kila hoja maana nyingine unapewa kama hints na ukisoma vizuri nilichoandika haihitaji kuendelea kuniquote na kusema haubishi 🤷Sipingi hata kidogo ila kitu ulichoongea huwezi kuthibitisha na kingine toka lini jiwe akawa na chuki na askari
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukali wa wanajeshi wetu sijawahi kuuona popote, ina maana wote waliotangulia walikuwa na busara hawajawahi kuvurugwa na yeyote toka tupate uhuru?
Hao walipelekwa jeshini kama makamisaa miaka ya sabini wakati wa chama kimoja, mwaka 1992 wakatolewa jeshini kurudishwa uraiani baada mfuma wa chama kimoja kuvunjika.Kwa jinsi TZ ilivyo usiseme jeshi halijaingizwa siasa. Huoni akina Makamba, Mkuchika, Komba, Lowasa, na wengine akina kikwete, Maokola Majogo, Kinana, watu kibao walitoka CCM kuingizwa jeshini na wakarudi CCM?
Angalia wanajeshi kibao wakistaafu wanapewa vyeo vya CCM, usiseme jeshi halipo kisiasa sema jeshi lipo kisiasa za CCM lakini nao wangeruhusu ex military akistaafu ajiunge na upinzani wa CCM mbona mngekoma mapema sana CCM???
Maana ingekuwa kuna wafuasi wa vyama vingine pia kama walivyokomesha Ile uchaguzi wa 2015 walimnyoosha jiwe mpaka akawachukia kweli maana makambini kote CHADEMA ilikuwa inaongoza.
Hao walipelekwa jeshini kama makamisaa miaka ya sabini wakati wa chama kimoja, mwaka 1992 wakatolewa jeshini kurudishwa uraiani baada mfuma wa chama kimoja kuvunjika.
Watoto wa miaka ya tisini utawajuwa tu kushupaa kwa ubishi dah!Very good answer, now the question is, walipelekwa kufanya nini? Makamisaa wa nini Yani purpose ya kuwatoa makada na kuwapeleka jeshini wakapata mavyeo then wakarudi kwenye siasa ilikuwa nini?
Ukisema 1992 ndio walirudishwa nakataa maana akina Lowassa na mzee Mkuchika na hao wengine walifanya kazi na Nyerere na walikuwa Mawaziri toka enzi hizo walipotoka jeshini especially baada ya Vita ya Kagera so hawakukaa sana huko jeshini so nakataa hiyo hoja yako kwamba walirudishwa 1992.
Siasa ipo kwenye jeshi letu na no siasa ya CCM tukubaliane tu mzee.
Kama hauna security clearance Rais akisema upewe ndio inakuwa ushapewa boss. No one atabisha sana sana mtaishia kupeleka report za utendaji afterwards na kutoa ushauri tu.Hivi huyo mama ni raia "parsee"?
Naona anaweza kuwa na exposure na security clearance ya juu sana kuzidi hata wapiganaji wengi
Acha ujinga naona unatafuta kujua unaongea na mtu wa umri gani anyway mamako anaweza kuwa ndio wanawake ambao nilicheza nao kijanaWatoto wa miaka ya tisini utawajuwa tu kushupaa kwa ubishi dah!
Alianza vibaya nahisi alionywa, alikuwa akitoa matamko kama rais kamiliila makamu siku hizi hasikiki sana
Umri wako unaweza kuwa tatizo, hujasimuliwaga mikasa iliyomkuta Nyerere?Ukali wa wanajeshi wetu sijawahi kuuona popote, ina maana wote waliotangulia walikuwa na busara hawajawahi kuvurugwa na yeyote toka tupate uhuru?
Alikuwa na kihelehele alijifsnya Bado ana madaraka kama waziri,naona amefata ushauri aliopewa,ndio inavyotakiwa kuwa,Umakamu wa Raisi,ni cheo kisicho na mamlaka,yeye hatakiwi kusikika kabisa,hatakiwi kusikika zaidi ya Raisi,Kwa huku bars,mwenye mamlaka yake ni Waziri mkuu,Makamu wa Raisi yupo pale kama "president in waiting"ikitokea Raisi akapata madhala,ila makamu siku hizi hasikiki sana
Umechanganywa na rangiiiii au majina?Hivi huyo mama ni raia "parsee"?
Naona anaweza kuwa na exposure na security clearance ya juu sana kuzidi hata wapiganaji wengi
Inaelekea hukumbuki political history ya nchi hii. Wakati wa chama kimoja kulikuwa na sera kuwa kila mtumishi wa umma lazima ajue itikadi ya chama. Kwa hiyo majeshini na taasisi mbalimbali za umma walipelekwa watu ikufundisha na kuhamasisha watu kuifahamu na kuipenda itikadi ya chama hicho. Wengi wao walikuwa wanatokea kivukoni College; kwa jeshini waliitwa makamisaa, lakini uraiani pia walikuwa wakiitwa waalimu wa siasa. Makamisaa kama Kikwete, Nsa kaisi, Mkuchika hawakua professional soldiers. Kwa mfano Nsa Kaisi alitoka uandishi wa habari akawa mkuu wa mkoa na kuwa Luteni Kanali. Hayo ni mambo ya miaka ya zamani sana, hayapo leo tena, yalifikia kikomo mwaka 1992Very good answer, now the question is, walipelekwa kufanya nini? Makamisaa wa nini Yani purpose ya kuwatoa makada na kuwapeleka jeshini wakapata mavyeo then wakarudi kwenye siasa ilikuwa nini?
Ukisema 1992 ndio walirudishwa nakataa maana akina Lowassa na mzee Mkuchika na hao wengine walifanya kazi na Nyerere na walikuwa Mawaziri toka enzi hizo walipotoka jeshini especially baada ya Vita ya Kagera so hawakukaa sana huko jeshini so nakataa hiyo hoja yako kwamba walirudishwa 1992.
Siasa ipo kwenye jeshi letu na no siasa ya CCM tukubaliane tu mzee.
OkInaelekea hukumbuki political history ya nchi hii. Wakati wa chama kimoja kulikuwa na sera kuwa kila mtumishi wa umma lazima ajue itikadi ya chama. Kwa hiyo majeshinini na taasisis mbalimbali za umma waliepelekwa watu ikufundisha na kuhamasisha wtukuifahamu na kuipenda itikadi ya chama hicho. Wengi wao walikuwa wanatokea kivukoni College; kwa jeshini waliitwa makamisaa, lakini uraiani pia walikuwa wakiitwa waalimu wa siasa. makamisaa kama Kikwete, Nsa kaisi, Mkuchika hawakua professional soldiers. Kwa mfano Nsa Kaisi alitoka uandishi wa habari akawa mkuu wa mkoa na kuwa Luteni Kanali. Hayo ni mambo ya miaka ya zamani sana, hayapo leo tena, yalifikia kikomo mwaka 1992