Hii kauli ya kusema wa Tanzania tuthamini vya kwetu!? Ni vya kwetu Vipi hivyo tunavopaswa kuvithamini?

Molleli

Senior Member
Aug 29, 2020
178
160
Ukiangalia kila kitu tumeiga kutoka ulaya Sasa kuthamini vya kwetu inatoka wapi jamani?

Tujitume katika kazi watanzania wenzangu vya kwetu vishapita vimebaki vya mungu na mzungu hii kauli ya kuthamini vya kwetu ni kukosa kazi ya kufanya na kuashiria uvivu.
 
Huenda ni pamoja na ule weledi wetu,na ule uzalendo wa kitanzania usiopatikana kwingineko duniani ,kama ilivyo democrasia yetu.
 
Back
Top Bottom