GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 56,385
- 108,455
Sasa hivi kila ukikatiza tu Kona za Mitaa mbalimbali nchini Tanzania utawasikia Watanzania wakisema tena huku Nyuso zao zikiwa na Furaha kabisa kana kwamba ni kweli Mheshimiwa Rais JPM labda alikaa nao Kitako na Kuwaaminisha na Kuwathibitishia hivyo.
Kauli yenyewe ni hii ambayo nainukuu kama ambavyo inasambaa mno katika Viunga vyetu mbalimbali nchini..." Kuanzia mwisho wa Mwaka huu Rais JPM atalegeza sana na atamwaga mno Pesa Mitaani ili Kuwapumbaza Watanzania na hali hiyo itaendelea hadi Mwakani Mwezi October ili ashushe Hasira zetu za Hali ngumu ya Maisha na tuweze Kumpigia tena Kura nyingi ".
Je hili lina ukweli wowote?
Tujadili.