Hii kauli nasikia sana mitaani. Je, hawa wanaoisema waliambiwa hivyo lini na Rais Magufuli?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
36,830
2,000
Sasa hivi kila ukikatiza tu Kona za Mitaa mbalimbali nchini Tanzania utawasikia Watanzania wakisema tena huku Nyuso zao zikiwa na Furaha kabisa kana kwamba ni kweli Mheshimiwa Rais JPM labda alikaa nao Kitako na Kuwaaminisha na Kuwathibitishia hivyo.

Kauli yenyewe ni hii ambayo nainukuu kama ambavyo inasambaa mno katika Viunga vyetu mbalimbali nchini..." Kuanzia mwisho wa Mwaka huu Rais JPM atalegeza sana na atamwaga mno Pesa Mitaani ili Kuwapumbaza Watanzania na hali hiyo itaendelea hadi Mwakani Mwezi October ili ashushe Hasira zetu za Hali ngumu ya Maisha na tuweze Kumpigia tena Kura nyingi ".

Je hili lina ukweli wowote?

Tujadili.
 
Yoda

JF-Expert Member
Jul 22, 2018
4,414
2,000
Pesa huwa zinamwagwa kutoka wapi?

MTK

JF-Expert Member
Apr 19, 2012
8,255

Hata kama ni kweli hizo pesa zitatoka wapi kasma inaendelea kudidimia kila kukicha?! japo ni maneno ya kijiweni tu hayo watu wanaishi kwa matumaini kwamba kesho itakuwa bora kuliko leo!
 
Mwanamageuko

JF-Expert Member
Oct 31, 2010
6,258
2,000
Sasa hivi kila ukikatiza tu Kona za Mitaa mbalimbali nchini Tanzania utawasikia Watanzania wakisema tena huku Nyuso zao zikiwa na Furaha kabisa kana kwamba ni kweli Mheshimiwa Rais JPM labda alikaa nao Kitako na Kuwaaminisha na Kuwathibitishia hivyo.

Kauli yenyewe ni hii ambayo nainukuu kama ambavyo inasambaa mno katika Viunga vyetu mbalimbali nchini..." Kuanzia mwisho wa Mwaka huu Rais JPM atalegeza sana na atamwaga mno Pesa Mitaani ili Kuwapumbaza Watanzania na hali hiyo itaendelea hadi Mwakani Mwezi October ili ashushe Hasira zetu za Hali ngumu ya Maisha na tuweze Kumpigia tena Kura nyingi ".

Je hili lina ukweli wowote?

Tujadili.
Yale maneno ".... vumilieni mambo mazuri yaja!!!" Ndio watu wanaunganisha dots... ALINACHA!!!
MIAKA YA 1980 BAADA YA VITA YA KAGERA ALISIMAMA MZEE MMOJA UWANJA WA LAKE TANGANYIKA KIGOMA AKASEMA (nukuu isiyo rasmi) "WATANZANIA FUNGENI MIKANDA MIEZI KUMI NA NANE YA SHIDA IPITE MTAPATA RAHA..." ilipita miaka si miezi hiyo tu MIKANDA ILITAKA KUKATA MATUMBO NA VIUNU VYA WATU MZEE YULE AKAONA ISIWE TABU JUMBA LENU HILO...
 
Lord eyes

JF-Expert Member
Aug 2, 2018
7,379
1,995

Ndicho kinachokuja kutokea
 
Kalamu1

JF-Expert Member
Jul 7, 2018
6,150
2,000
Sasa hivi kila ukikatiza tu Kona za Mitaa mbalimbali nchini Tanzania utawasikia Watanzania wakisema tena huku Nyuso zao zikiwa na Furaha kabisa kana kwamba ni kweli Mheshimiwa Rais JPM labda alikaa nao Kitako na Kuwaaminisha na Kuwathibitishia hivyo.

Kauli yenyewe ni hii ambayo nainukuu kama ambavyo inasambaa mno katika Viunga vyetu mbalimbali nchini..." Kuanzia mwisho wa Mwaka huu Rais JPM atalegeza sana na atamwaga mno Pesa Mitaani ili Kuwapumbaza Watanzania na hali hiyo itaendelea hadi Mwakani Mwezi October ili ashushe Hasira zetu za Hali ngumu ya Maisha na tuweze Kumpigia tena Kura nyingi ".

Je hili lina ukweli wowote?

Tujadili.
Je, watu hao hawasemi hali itakuwa vipi baada ya wananchi hao kupiga kura zao? Kwa mfano kura zisiwe zinatosha sandukuni, lakini zikatosha kwa msaada maalum, hali itakuwaje, hasa kwenye viunga vitakavyoonekana kuwa vinara wa kutokuwa na shukrani?
Tunakuagiza nenda tena huko kwenye viunga ukasikilize kwa makini yanayosemwa.
Haya mazoea ya kufanya kazi nusunusu yanatuchelewesha sana waTanzania kuleta maendeleo.
 
Top Bottom