Hii katuni ya Gaddo inayohusu East African Community imeacha mbavu zangu hoi

Behaviourist

JF-Expert Member
Apr 8, 2016
39,901
95,404
Huyo jamaa hapo anaedai kuwa chanjo ni western witchcraft ni nani?Halafu Museven anatembea na mashine gun!
098761.jpg
 
His mindset is village based
Hivi inawezekana vipi Taifa lenye watu zaidi ya million hamsini anapatikana Rais tahira?Kwenye ishu ya Corona leo kawaambia wananchi wa huko kuwa waendelee kumtegemea Mungu!😄😄😄
 
Hivi inawezekana vipi Taifa lenye watu zaidi ya million hamsini anapatikana Rais tahira?Kwenye ishu ya Corona leo kawaambia wananchi wa huko kuwa waendelee kumtegemea Mungu!😄😄😄
Kwasababu huyo Rais mwenyewe anateuliwa na kundi dogo la watu.
 
Chunga kauli zako.
Unatafuta kutukanwa!Halafu mimi huwa sina tabia za kutukana watoto wa kike.Nilitaka nikutukane direct nikashindwa.Stay away from me.Mimi siyo mpumbavu mwenzako!Unaelewa kuwa Mungu huwa halipi maombi bali huwa analipa jitihada?
 
Back
Top Bottom