Hii kasi ya Marekani kujisogeza kwetu baada ya kifo cha Rais Magufuli inatia shaka

Kama nimekosea nisahihisheni. Serikali ya Marekani haijatoa rambirambi rasmi kwetu kufuatia kifo Cha Rais Magufuli.

Lakini Marekani inajisogeza Sana kwa mama wakidai kutaka kutupa 'misaada' ya kupambanana korona. Tusiwaonee aibu! Tuwaambie hatuhitaji msaada wa kupambana na korona! Kama Wana Nia ya kutupa msaada watupe pesa zitusaidie kumalizia SGR na mradi wa Stigler's George.

Wakapambane na korona huko kwao maana wao tatizo Ni kubwa kuliko kwetu! Hawa mabeberu hawana aibu.
Watanzania nawapenda sana na kejeli zenu, kama kweli unataka kusema kwa nini huitaki serikali yako irejeshe pesa walizopewa na EU kupambana na corona? EU wenyewe wamelishasema wanataka kujua mmezifanya nini pesa hizo? Rejesheni pesa za watu kwanza halafu ndio mje na jeuri za kimasikini!

Rejesheni mamilioni haya!!!!

Kama nimekosea nisahihisheni. Serikali ya Marekani haijatoa rambirambi rasmi kwetu kufuatia kifo Cha Rais Magufuli.

Lakini Marekani inajisogeza Sana kwa mama wakidai kutaka kutupa 'misaada' ya kupambanana korona. Tusiwaonee aibu! Tuwaambie hatuhitaji msaada wa kupambana na korona! Kama Wana Nia ya kutupa msaada watupe pesa zitusaidie kumalizia SGR na mradi wa Stigler's George.

Wakapambane na korona huko kwao maana wao tatizo Ni kubwa kuliko kwetu! Hawa mabeberu hawana aibu.
Jifunze 'international etiquette' kwanza, then changia hoja.
 
Back
Top Bottom