ZE NDINDINDI
JF-Expert Member
- Sep 19, 2016
- 1,885
- 4,012
Kwamba unadaiwa hela na jamaa wa pakistan wenye showroom,ulienda kuchukua saloon cars moja ya baba yako nyingine za vimada
unalipa unavyojisikia na ku wabwatukia wakiulizia deni lao
kuwatisha zaidi juzi kwenye hotuba yako ya kutimiza mwaka mmoja wa ku run dsm ukasema showroom zitatolewa katikati ya mji sijui na CFAO motors utawaondoa?
technique naona ni ileile iliyokupatia lexus na Bmw x6,unawatisha maskini ya Mungu wasikudai hizo gari,sio fair kabisa?.we si mcha Mungu wewe??
Shame on you