Hii kampuni ya kutengeneza simu ni kiboko....wametoa Version yenye lugha ya Kinyakyusa.

Consigliere

JF-Expert Member
Sep 9, 2010
12,004
2,000
Wametengeneza simu na kuziweka Lugha ya Kinyakyusa, ambayo zitakuwa zinasomeka kama ifuatavyo hivyo msije mkastuka sana.

1. INGAMU (Phonebook).
2. AMASIMBO (Messages).
3. INDENDEKESYO (Settings).
4. UTUBOMBELO (Tools).
5. INJOBELO (Language).
6. PAKUSOKELA (Exit)
7. INYOMOSYO (Reminders).
8. INGOLELO (Ringtones).
9. NYAMBILIGWA (Received Calls).
10. IFIPILIKISYO (Headphones).

Mimi ndiyo ninajaribu kuizoea zoea hapa.
Tafuteni-tafuteni tu madukani mtazikuta ila msiniulize sosi.


 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom