Hii kamata kamata ya viongozi wa siasa inatofauti gani na kipindi cha ukoloni?

lukoma

JF-Expert Member
Jul 1, 2013
2,988
2,000
Kama watoto wetu wangekuwa wadadisi wangepata ugumu sana kutofautisha kipindi cha ukoloni hususani kipindi cha harakati za ukombozi na yanayotokea sasa. Vyama vya siasa vilipigwa marufuku, viongozi wa kisiasa walikamatwa mara kwa mara. Mahakama na Magereza zilikuwepo kama leo kwa manufaa ya dola ya kikoloni. Wakuu wa wilaya na mikoa nao walikuwepo kama leo waliogopwa kama leo, walikuwa wanamamlaka na nguvu kama leo. Tofauti iko wapi?
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom