Hii kamata kamata dhidhi ya panya, huyu paka anapaswa kudhibitiwa, na hii ndio dawa yake

Shukrani A. Ngonyani

JF-Expert Member
Feb 23, 2014
1,179
2,004
Katika nchi ya paka, panya hatakiwi atawale, kutawala kwa panya ni dhihaka kwa paka na utawala wake.

Dawa yake ni ndogo sana, kutokata tamaa, paka ana lengo la kutisha na kutawala kibabe ili panya waogope kuhoji utawala wake.

Paka anataka "kuwaibia" panya mahindi yao, anakuwa mkali kutisha ili panya waogope aibe atakavyo na kwa uhuru. kwani nani hajui paka ni mwizi? aliuza viota vya kujenga jumuia paka wenzake kwa paka mwenzake 1?

Panya ili kumshinda paka anatakiwa aongeze mashambulizi dhidi ya paka.

Pole sana paka mkubwa, unaogopa sana panya wanaokuambia ukweli.
 
Sina mil 7,uonevu huu,Mungu atajibu kitu..awezi mwacha bure.
 
1481100193514.jpg
 
Panya wenyewe wameshawekwa kona mbaya..

Hakuna anayethubutu kufurukuta..

Wakisikia mlio wa paka tu wanazimia kabla hawajamuona huyo paka mwenyewe..

Ujasiri wao ni pale tu wanapokuwa shimoni.

Kama panya"patience"hapa.

Ukinikuta nyuma ya "keyboard" Alhamdulillah,utasema "shkamoo mwanamapinduzi"

Umenikumbusha story ya panya "Ni nani atakayemfunga paka kengele?"
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom