Hii kali tena,,,aisha wa amana afanya kituko cha mwaka | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hii kali tena,,,aisha wa amana afanya kituko cha mwaka

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Chuck j, Aug 20, 2012.

 1. Chuck j

  Chuck j JF-Expert Member

  #1
  Aug 20, 2012
  Joined: Jun 17, 2011
  Messages: 1,973
  Likes Received: 410
  Trophy Points: 180
  Mhudumu mmoja jana jmosi alifanya kituko cha ajabu baada ya kupokea ujumbe kwenye simu yake,kuwa jpili ni sikukuu ya idd,Alichokifa baada ya kupata ujumbe kwenye sim yake,majira ya saa kumi na mbili,ni kusitisha huduma katika word ya kina mama wanasubiri kujifungua,nakujiandaa kuondoka,mashuhuda waliokuepo wanasema alisema atakuja mhudumu (narse) mwingine .Kweli baada ya kuondoka ikapita kama nusu saa akaingia narse mwingine,,Kama Mungu alikuwepo nao baada ya kuingia mkunga wamama wakaanza kupata uchungu,wakujifungua,,Swali je ndo utaratibu huo kuondoka bila kukabidhiana?Je angepata uchungu mmama mmoja nani angemsaidia?,,,,souce ni shemeji yangu,,alikuwa huko kujifungua ,,,,,nawakilisha
   
 2. m

  mzee wandimu JF-Expert Member

  #2
  Aug 20, 2012
  Joined: Sep 23, 2011
  Messages: 441
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  mkuu umetoka kwenye pilau lililobaki mchana nini?
   
 3. jogi

  jogi JF-Expert Member

  #3
  Aug 20, 2012
  Joined: Sep 25, 2010
  Messages: 19,335
  Likes Received: 12,799
  Trophy Points: 280
  Huyo shemeji yako keshajifungua?
   
 4. Bilionea Asigwa

  Bilionea Asigwa JF-Expert Member

  #4
  Aug 20, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 12,627
  Likes Received: 9,838
  Trophy Points: 280
  shibe nyingine hatari sana...................
   
 5. Chuck j

  Chuck j JF-Expert Member

  #5
  Aug 20, 2012
  Joined: Jun 17, 2011
  Messages: 1,973
  Likes Received: 410
  Trophy Points: 180
  Hajajifungua,,
   
 6. mmbangifingi

  mmbangifingi JF-Expert Member

  #6
  Aug 20, 2012
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 2,855
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Shemeji yako mtata sana huyo!
   
 7. Chuck j

  Chuck j JF-Expert Member

  #7
  Aug 20, 2012
  Joined: Jun 17, 2011
  Messages: 1,973
  Likes Received: 410
  Trophy Points: 180
  mtata mwenyewe,,,,,,,,,ivi na akili zako ukiwa mhudumu,,anakuja mgonjwa anaanza kukweleza tatizo,we unajua zaidi na kumpa kitanda,,ilhali amekuja kukutaka ushauri,,,ni chizi weweee
   
 8. mmbangifingi

  mmbangifingi JF-Expert Member

  #8
  Aug 20, 2012
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 2,855
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Mbona povu mkuu
   
 9. Power G

  Power G JF-Expert Member

  #9
  Aug 20, 2012
  Joined: Apr 20, 2011
  Messages: 3,911
  Likes Received: 88
  Trophy Points: 145
  Huyo shemeji yako aliyekupa habari hizi anasumbuliwa umbea tu ndiyo maana hajajifungua bado mpaka leo.
   
 10. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #10
  Aug 20, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,671
  Trophy Points: 280
  Mkuu kuwa makini na shemeji yako sio kila kitu anachokuambia na wewe unakubali tu.
   
 11. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #11
  Aug 20, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,692
  Likes Received: 12,738
  Trophy Points: 280
  Eid mbarak Ritz!

   
 12. Madame B

  Madame B JF-Expert Member

  #12
  Aug 21, 2012
  Joined: Apr 9, 2012
  Messages: 24,129
  Likes Received: 4,994
  Trophy Points: 280
  Kwanza mtu mwenyewe kakosea jukwaa.
  Nenda jukwaa la stress ukawatupie washawasha wajikune.
  Kwa hyo tukusaidieje?
  By Prof. J
   
 13. BAGAH

  BAGAH JF-Expert Member

  #13
  Aug 21, 2012
  Joined: Jan 17, 2012
  Messages: 4,523
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  ..hata mimi bibi yangu alikua hapo hapo ameniambia ivo ivo
  ila BIBI yangu yeye bahati nzuri amejifungua, tena mapacha!
   
 14. Baba V

  Baba V JF-Expert Member

  #14
  Aug 21, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 19,507
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  umeona eeh! Yaani umeshindilia mapilau afu uka seal na valuer lazima ufuke vapour!
   
 15. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #15
  Aug 21, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,046
  Likes Received: 6,492
  Trophy Points: 280
  Inawezekana ni ukweli kabisa,
  kwa nchi hii kila aina ya uzembe unawezekana.
   
 16. Arushaone

  Arushaone JF-Expert Member

  #16
  Aug 21, 2012
  Joined: Mar 31, 2012
  Messages: 14,351
  Likes Received: 613
  Trophy Points: 280
  Kwanini mnamlaumu mleta mada? Kaeleza vizuri kuwa mkunga/nesi aliyekuwa zamu alipata msg then kasepa kabla hajamkabidhi mwenzak ward. That should be critisized na siyo mleta mada since huduma za hosp zetu zimedoda. Cha kufanya ni kulaani tabia hiz0
   
Loading...