Hii kali sikujua kama unaweza kupiga simu bure kabisa kwenye internet. Hii kali sana | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hii kali sikujua kama unaweza kupiga simu bure kabisa kwenye internet. Hii kali sana

Discussion in 'Entertainment' started by Lofefm, Jul 24, 2011.

 1. L

  Lofefm Senior Member

  #1
  Jul 24, 2011
  Joined: May 22, 2011
  Messages: 131
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Leo nimebaki mdomo wazi yaani hata kisimu changu kidogo ninachotumia kuingia internet nimepigia simu bure? Wana JF msiikose hii tembelea BONGOWAP.HEXAT.COM utanisimulia kamuujiza aka
   
 2. D

  Derimto JF-Expert Member

  #2
  Jul 24, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 1,305
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Ngoja nijaribu lakini ungetoa na maelezo kidogo kwamba unafanyaje
   
 3. Mwendabure

  Mwendabure JF-Expert Member

  #3
  Jul 24, 2011
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 2,053
  Likes Received: 293
  Trophy Points: 180
  Ili kufikia ktk kupiga simu internet nayo ni bure? Wabongo tumelogwa hakyamungu...! Khaaa..!
   
 4. Rogie

  Rogie JF-Expert Member

  #4
  Jul 24, 2011
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 6,273
  Likes Received: 3,005
  Trophy Points: 280
  Haahaahaa..labda internet anayotumia pia ni bure
   
 5. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #5
  Jul 24, 2011
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,033
  Trophy Points: 280
  wakati unajaribu........ujaribu kuja huku kwangu.....ili unieleze kinagaubaga.........ilikuwaje?
   
 6. Rugas

  Rugas JF-Expert Member

  #6
  Jul 24, 2011
  Joined: Jan 8, 2009
  Messages: 1,053
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Yawezekana net ikama inalamba pesa nyingi wakati unatumia net kupiga bure hata zaidi ya kupiga 1kwa 1
   
Loading...