Hii kali mwaka wa nne hajaona siku zake

ADK

JF-Expert Member
Jan 13, 2012
2,191
804
Ana umri wa miaka 30 na haoni kabi siku zake . Ila kiuno kinamuuma sana afanye nini maana anahitaji watoto
 
Mwambie atumie dawa zangu hizi za Tiba Mbadala kisha unipe Feedback..........

DAWA ZA KUTEREMSHA HEDHI.

Ikiwa hedhi imezuilika kwa kufikia umri wa kumaliza au ni kwasababu ya mimba, inafahamika lakini ikiwa si kwasababu mbili hizo basi hufanyiwa dawa na kuirudisha hedhi.

1. Kunywa chai ya mdalasini.

2. Mvuje ukinywewa pamoja na pilipilimanga huteremsha hedhi iliyo fungwa katika uzai au mapito yake.

3. Manemane ikipondwa na ukinywa siku tatu asubuhi kabla ya kula chakula

4. Kitunguu somu na maganda yake huteremsha hedhi

5. Kunywa maji yaliyochemsha na zaatari.@ADK
 
  • Thanks
Reactions: ADK
mwambie atumie dawa zangu hizi za tiba mbadala kisha unipe feedback..........

dawa za kuteremsha hedhi.

ikiwa hedhi imezuilika kwa kufikia umri wa kumaliza au ni kwasababu ya mimba, inafahamika lakini ikiwa si kwasababu mbili hizo basi hufanyiwa dawa na kuirudisha hedhi.

1. Kunywa chai ya mdalasini.

2. Mvuje ukinywewa pamoja na pilipilimanga huteremsha hedhi iliyo fungwa katika uzai au mapito yake.

3. Manemane ikipondwa na ukinywa siku tatu asubuhi kabla ya kula chakula

4. Kitunguu somu na mag/b][/url]


ahsante nitamueleza aufanyie kazi mkuu
 
she must be sick, na vipi amekaa mpaka miaka mi3 bila utafuta tiba ya tatizo?!!

kuhusu tiba alifuatilia hizi za kisasa lkn hazikumsaidia na kwa vile kulikuwa hakuna side efect akaona poa
 
kuhusu tiba alifuatilia hizi za kisasa lkn hazikumsaidia na kwa vile kulikuwa hakuna side efect akaona poa

ugonjwa ukichelewa kutibika hufanya madhara zaidi, kwahiyo now anahitaji mtoto ndio anaona umuhimu! anyway dnt wanna judge her, namtakia kila la kheri apate tiba!
 
wadau my wife wangu alijifungua mtoto mwezi wa pili mwaka huu, hadi asaiv hajaona siku zake, je hiyo ni hali ya kawaida au kuna tatizo? mimba hana. MziziMkavu
 
Last edited by a moderator:
Mkuu zumbemkuu kama ana nyonyesha basi mpaka mtoto atakapo tembea ndipo anaweza kupata siku zake sio maradhi hayo nijuavyo mimi amepata bahati mke wako je amejifunguwa mtoto wa kike au wa kiume?
asante mkuu, ni mtoto wa kike. thanks, niliwahi kuku'PM kuhusu ngozi yake wonderful nywele zake zinabadilika na kuwa nyeusi thou kope bado hazijabadilika, na kusema kweli anapepesa macho japo sio sana, ngozi yake ule weupe wa sana unabadilika na kuwa wekundu. she is real beautfull.
 
akitumia akipata hiyo damu unieleze basi mkuu hata kuweka (like) unashindwa? ADK

amekubali kufuata ushauri wako ila baada yamfungo wa ramadhan kuhusu like mwenzio natumi sim ya mchina utaniwia radhi kwa hilo mkuu
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom