Hii Kali-- JK kachambuliwa kama Karanga kwenye comments Majira gazeti

Asante sana Mpadmire, achana na Mwanafyale, mimi namfaham sana (mtoto si riski yeye)
 
Hivi mliianzisha thread hii kutuonyesha upuuzi wenu na uwezo wenu wa kuja na matusi mapya. Kweli mnastahili BAN nyie wote. Hata hivyo huwezi kuzuia maoni ya watu kuhusu hotuba hiyo maana wako wengine wengi tu walioifurahia na kuipongeza. Hiyo ndiyo maana ya uhuru wa kutoa maoni. Unataka tukubali tu kila likichozungumzwa na Majira. Inategemea lenyewe limeegemea wapi na linaichukuliaje hiyo hotuba.
 
Back
Top Bottom