Hii kali, Halima Mdee kuhusishwa na ufisadi wa kiwanja Mbezi Jogoo? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hii kali, Halima Mdee kuhusishwa na ufisadi wa kiwanja Mbezi Jogoo?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by masopakyindi, Oct 20, 2012.

 1. masopakyindi

  masopakyindi JF-Expert Member

  #1
  Oct 20, 2012
  Joined: Jul 5, 2011
  Messages: 13,909
  Likes Received: 2,336
  Trophy Points: 280
  Katika hali isiyo ya kawaida, Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa Mbezi Jogoo(nyuma ya Cotex) Bw. Juma zmunanka amelazimishwa kujiuzulu leo mbele ya wananchi baada ya mlolonho wa vurumai za kutomtaka kwa kipindi kirefu sasa.

  Munanka amekuwa na tuhuma nyingi za kuuza viwanja, nyingi ambazo zimeishia kwenye migogoro na wananchi.
  Inasemekana Munanka anachunguzwa na TAKUKURU kwa kukusanya michango toka kwa viwanda vilivyopo sehemu yake kwa mradi hewa wa kituo cha watoto yatims.

  Yote tisa, lakini kumi ni la uuzwaji wa kiwanja kilichopokaribu ya kiwanda cha Cotex , sambamba na kiwanda cha juisi ya kusindika cha MAZA.

  Wananchi leo waliitishwa ili wapatanishwe na Munanka lakini wamekataa katakata.

  Ndipo Juma Munanka akaomba kujiuzulu, lakini akasema aba machche ya kusema kabla ya kuondoka.

  Akasema yote ya kuuza kiwanja yalisukwa toka Kwa Mkurugenzi wa Halmashauri Kinondoni, na kiwanja kimeuzwa na Mtu fulani anaitwa Namgongo( kimeuzwa kwa Mbunge-hakutajwa lakini anaishi jirani na hapo).

  Munanka aliendelea kufunguka kuwa licha ya Mkurugenzi wa Kinondoni kufahamu na kusimamia mipango, Mbunge wa eneo hilo ( siyo mnunuzi)ana habari(Halima Mdee) ,na vilevile Diwani wa eneo hilo na hata Mkuu wa Kituo Polisi kawe na kwamba shughuli yote iligharimu kiasi cha tsh milioni 300.

  Wananchi eneo hilo wameondoka huku wakiwa wamechanganyikiwa!
   
 2. T2015CCM

  T2015CCM JF-Expert Member

  #2
  Oct 20, 2012
  Joined: Sep 13, 2012
  Messages: 7,924
  Likes Received: 358
  Trophy Points: 180
  Hii sasa kali.halima mdee anatumia mda wake vizuri,ndio mana tunasema watanzania wanapambana na ufisadi wakiwa nje,akipata nafasi naye anapiga
   
 3. T2015CCM

  T2015CCM JF-Expert Member

  #3
  Oct 20, 2012
  Joined: Sep 13, 2012
  Messages: 7,924
  Likes Received: 358
  Trophy Points: 180
  Mdee ni member humu ni vyema aje hapa atueleze hii
   
 4. Faru Kabula

  Faru Kabula JF-Expert Member

  #4
  Oct 20, 2012
  Joined: Mar 26, 2009
  Messages: 10,640
  Likes Received: 2,872
  Trophy Points: 280
  Ahaa, kumbe kosa la Halima ni kuwa na habari!? Mbona hata mimi nina habari, lakini sihusiki na ufisadi? Mbona hata wewe mleta mada una habari ndio maana umeweza kutupasha humu, na wewe unahusika na ufisadi?
   
 5. kazikubwa

  kazikubwa JF-Expert Member

  #5
  Oct 20, 2012
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 598
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Hakuwa sorber wakati anafanya maamuzi.
   
 6. b

  blueray JF-Expert Member

  #6
  Oct 20, 2012
  Joined: Sep 15, 2012
  Messages: 2,219
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Mkuu kitu ambacho hujatueleza ni hawa viongozi; Halima Mdee, Diwani wa eneo hili, na Mkuu wa kituo cha Polisi Kawe wamehusishwaje!
  Au wao walijua baada ya wananchi kupeleka malalamiko yao kwao?
  Na kama huyu Juma ndiye mtuhumiwa na Inaonekana ni kifisadi kidogo Unawezaje kuamini ushahidi wake?
  halafu katika ngazi za uongozi nchi hii ni Mwenyekiti wa kijiji au mtaa ndie anakuwa na maamuzi makubwa juu ya uzaji wa ardhi baada ya kuitisha mkutano Mkuu Wa kijiji Au mtaa. Sasa tuambie hawa akina Mdee, Diwani Na Polisi wamehusishwaje?
   
 7. n

  natangaduaki Member

  #7
  Oct 20, 2012
  Joined: Mar 8, 2012
  Messages: 99
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  mimi mbona nashinwa kuona uhusiano uliopo kati ya kuelewa juu ya uuzwaji wa viwanja na ushiriki wake katika hilo dili.Mbona hata mkuu wa nchi alishaeleza ya kwamba anawajua wala rushwa kwa majina na mpaka leo hatujaona hatua stahiki zilizochukuliwa. Hapo unamuonea tuu mhe. leta thread ambazo zimejitosheleza
   
 8. K

  Karibuni masijala JF-Expert Member

  #8
  Oct 20, 2012
  Joined: Sep 13, 2012
  Messages: 409
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  sio lazima kuandika threat unaweza hata kuosha vyombo kuliko kuviacha waoshe wengine kila siku au ukasoma threat ukajiongezea uelewa
   
 9. isambe

  isambe JF-Expert Member

  #9
  Oct 20, 2012
  Joined: Feb 14, 2008
  Messages: 2,053
  Likes Received: 881
  Trophy Points: 280
  Hivi mama rita mlaki si nasikia anaviwanja vingi hapo jogoo?
   
 10. Bondpost

  Bondpost JF-Expert Member

  #10
  Oct 20, 2012
  Joined: Oct 16, 2011
  Messages: 1,979
  Likes Received: 501
  Trophy Points: 280
  Mkuu, kumbuka mbunge hakutajwa, na kama alisema mbunge anayekaa karibu na hapo palipouzwa ni Nyambari Nyangwine pale pembeni ya kiwanda cha MAAZA kuna ghorofa tatu juu ndipo anapoishi na Nyambari amekuwa akikifukuzia sana hicho kiwanja mpaka wakaja kumuuzia muhindi.
   
 11. EMT

  EMT JF-Expert Member

  #11
  Oct 20, 2012
  Joined: Jan 13, 2010
  Messages: 14,464
  Likes Received: 865
  Trophy Points: 280
  Kumbe siku hizi kuwa tuu na habari ni issue?
   
 12. Shark

  Shark JF-Expert Member

  #12
  Oct 20, 2012
  Joined: Jan 25, 2010
  Messages: 20,084
  Likes Received: 7,312
  Trophy Points: 280
  Ndio modern life mkuu.
  Kwani wewe hauna habari juu ya jambo lolote lile ili nawe tuanze kukushutumu kua umehusika??
   
 13. masopakyindi

  masopakyindi JF-Expert Member

  #13
  Oct 21, 2012
  Joined: Jul 5, 2011
  Messages: 13,909
  Likes Received: 2,336
  Trophy Points: 280
  Mkuu hapo common point of confluence ni hiyo Tshs 300 million, imetembea hiyo
   
 14. masopakyindi

  masopakyindi JF-Expert Member

  #14
  Oct 21, 2012
  Joined: Jul 5, 2011
  Messages: 13,909
  Likes Received: 2,336
  Trophy Points: 280
  Mkuu inelekea wewe una hints za dili hili, ila unakosa details.

  Nyangwine nyambari ana ghorofa laku karibu na hicho kiwanja na ndiye anayedaiwa ni mnunuzi.
   
 15. masopakyindi

  masopakyindi JF-Expert Member

  #15
  Oct 21, 2012
  Joined: Jul 5, 2011
  Messages: 13,909
  Likes Received: 2,336
  Trophy Points: 280
  Information is power!!
   
 16. A-town

  A-town JF-Expert Member

  #16
  Oct 21, 2012
  Joined: Oct 25, 2011
  Messages: 498
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 45
  Mleta mada kaweka jina la Halima Mdee ili kuwavuta watu lakini alichokusudia anakijua mwenyewe
   
 17. Mbonica VJ

  Mbonica VJ Member

  #17
  Oct 21, 2012
  Joined: Sep 27, 2012
  Messages: 77
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  ukipata nafsi nikuiitumia effectively eti mdeee:blabla:
   
Loading...