Hii Kali: "Fikiria Ikulu ya Magogoni inavamiwa na Rais anapewa Kichapo" | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hii Kali: "Fikiria Ikulu ya Magogoni inavamiwa na Rais anapewa Kichapo"

Discussion in 'Jamii Photos' started by Kivumah, May 24, 2012.

 1. Kivumah

  Kivumah JF-Expert Member

  #1
  May 24, 2012
  Joined: Jan 7, 2008
  Messages: 2,413
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  [​IMG]

  [​IMG]


  [​IMG]

  Hapo ni Ikulu ya Mali, Wananchi wenye Hasira walivamia Ikulu ya Mali wakampa kipondo Rais wa muda Bw.Diancounda Traore, imetokea juzi ambapo ilikuwa kama mzaha vile na walinzi wa Ikulu walikuwa wanatizama tu.
  ...Duh hii kali.....
   
 2. Ruhazwe JR

  Ruhazwe JR JF-Expert Member

  #2
  May 24, 2012
  Joined: Jan 31, 2011
  Messages: 3,414
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  mbona picha haionekani
   
 3. LexAid

  LexAid JF-Expert Member

  #3
  May 24, 2012
  Joined: Jul 5, 2011
  Messages: 1,950
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Duh, KweRi ukisikia seRikaRi iko Rikizo ndio hii....
   
 4. NATA

  NATA JF-Expert Member

  #4
  May 24, 2012
  Joined: May 10, 2007
  Messages: 4,516
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Mh sheshe!

  Hawa mbona wengi ni vijana ?

  Milipuko ya shule za kata
   
 5. Mchaga

  Mchaga JF-Expert Member

  #5
  May 24, 2012
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 1,371
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Ni upepo wa kisiasa UTAPITA ...:)
   
 6. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #6
  May 24, 2012
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,297
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Unajua mwanzo nilidhani utani!
  Itakuwa nchi iko kwenye hali tete kisiasa!
   
 7. mkonowapaka

  mkonowapaka JF-Expert Member

  #7
  May 24, 2012
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 1,483
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  cha ajabu hamna ahat ammoj amwenye silaha.............walinzi wake wana kesi ya kujibu
   
 8. tz1

  tz1 JF-Expert Member

  #8
  May 24, 2012
  Joined: Mar 19, 2011
  Messages: 2,118
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 145
  Mimi ningekimbilia chumbani kwake nichukue viwalo vyake anvyo hongwa na waarabu.
   
 9. Emanuel Makofia

  Emanuel Makofia JF-Expert Member

  #9
  May 24, 2012
  Joined: Jan 5, 2010
  Messages: 3,843
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  :israel::evil::israel::evil::israel:
   
Loading...