zerdi Member Dec 20, 2016 12 4 Jan 2, 2017 #1 Nikikumbuka urefu wa Januari 2016, nadhani January 2017 inaweza isiwe na mwisho Tena vile tumeanza na kazi siku ya sikukuu, siku ambayo hata isingekuwa sikukuu tungekua na weekend (Jumapili). Yangu macho.
Nikikumbuka urefu wa Januari 2016, nadhani January 2017 inaweza isiwe na mwisho Tena vile tumeanza na kazi siku ya sikukuu, siku ambayo hata isingekuwa sikukuu tungekua na weekend (Jumapili). Yangu macho.
Numbisa JF-Expert Member Dec 12, 2016 267,959 1,094,248 Jan 2, 2017 #2 Hili ni lalamiko au?kwa magu,serikali,mtengeneza kalenda au muumba mbingu na ardhi?
Job K JF-Expert Member Oct 4, 2010 9,315 7,113 Jan 2, 2017 #4 floriandaniel said: Tumuhombe mungu mahisha yawe PW. Click to expand... Tumuhombe mungu? mahisha? mmmmhh JF ina kazi kwa kweli!
floriandaniel said: Tumuhombe mungu mahisha yawe PW. Click to expand... Tumuhombe mungu? mahisha? mmmmhh JF ina kazi kwa kweli!