King’asti Platinum Member Nov 26, 2009 27,823 24,781 Dec 9, 2012 #3 Itakuwa fastjet ya mbagala tegeta via posta.
MaxShimba JF-Expert Member Apr 11, 2008 35,772 4,054 Dec 9, 2012 #4 Mkuu kama kwenye basi tu ni patashika kuvinjika mguu mtu sembuse ndege....
Herbalist Dr MziziMkavu JF-Expert Member Feb 3, 2009 42,315 33,109 Dec 9, 2012 Thread starter #5 Lakini kama ni Wahindi wanaweza kufanya hivyo sasa huko ju dio kutakuwa ni Fast class?
Amavubi JF-Expert Member Dec 9, 2010 30,142 13,216 Dec 10, 2012 #6 Nauli za ndege zimepungua kila mahali.................