Hii ipoje, Forbes tajiri wao namba 1 duniani ana $billion 230 lakini Mohammad bin Salman ana $billion 500 na hatumsikii

Wadau mimi ni mmoja ya watu ambao japo sio wafuatiliaji sana lakini kuna kitu sijaelewa kwa mujibu wa Forbes bilionea Mmarekani mwenye asili ya South Africa, Elon Musk ndiye binaadam mwenye pesa zaidi dunian US dollar billion 230.

Lakini juzi nimesikia mmiliki mpya wa Newcastle United Mohammad Bin Salman wa Saudia Arabia ana dollar za Kimarekani billion 500 wala sijawahi kumsikia Forbes wakimgusia hata kwa top 10000 yao hii sasa imekaaje?

Na sahihi wako na mpango wa kutengeneza city ya Niom huko Saudia kwa mabilioni ya dollar halafu hawaringi wallaaaaah.

How this happened on earth via crestus magori
Niom city ni nini
 
Wewe wawapi??!!kwani hujui waarabu pesa zao za familia nzima sio mtu mmoja moja kama wazungu na forbes wanachunguza mbaka umiliki wa mtu mmojamoja sasa kwa asilimia kubwa waarabu ni urithi na za familia si wangetaja mbona dangote wanataja tu
Vp kuhusu Mo mdau
 
Wadau mimi ni mmoja ya watu ambao japo sio wafuatiliaji sana lakini kuna kitu sijaelewa kwa mujibu wa Forbes bilionea Mmarekani mwenye asili ya South Africa, Elon Musk ndiye binaadam mwenye pesa zaidi dunian US dollar billion 230.

Lakini juzi nimesikia mmiliki mpya wa Newcastle United Mohammad Bin Salman wa Saudia Arabia ana dollar za Kimarekani billion 500 wala sijawahi kumsikia Forbes wakimgusia hata kwa top 10000 yao hii sasa imekaaje?

Na sahihi wako na mpango wa kutengeneza city ya Niom huko Saudia kwa mabilioni ya dollar halafu hawaringi wallaaaaah.

How this happened on earth via crestus magori
Niacheni Nile hela zangu kwa amani!
 
Ule ni utajiri wa Saudi Arabia kama nchi na sio wake binafsi.
 
Wadau mimi ni mmoja ya watu ambao japo sio wafuatiliaji sana lakini kuna kitu sijaelewa kwa mujibu wa Forbes bilionea Mmarekani mwenye asili ya South Africa, Elon Musk ndiye binaadam mwenye pesa zaidi dunian US dollar billion 230.

Lakini juzi nimesikia mmiliki mpya wa Newcastle United Mohammad Bin Salman wa Saudia Arabia ana dollar za Kimarekani billion 500 wala sijawahi kumsikia Forbes wakimgusia hata kwa top 10000 yao hii sasa imekaaje?

Na sahihi wako na mpango wa kutengeneza city ya Niom huko Saudia kwa mabilioni ya dollar halafu hawaringi wallaaaaah.

How this happened on earth via crestus magori

Kumbe bado hujui jinsi utajiri wa mtu binafsi unahesabiwa..

MBS hana utajiri huo, hizo $ Bil 500 ni utajiri wa Saudi Royal Family yote ya Saudi Arabia, yaani sio utajiri wa MBS. Sijui kama umeelewa.. Yaani chukua familia nzima ya kifalme, miradi yao, utajiri wa mtu mmoja mmoja wa familia yote unajumlisha, mafuta, gas, ndio unapata $ 500 bil

Elon pekee ana $ 230 bil and inakuwa haraka sana utajiri wake, and wanakadiria within 15 yrs Elon will be the first trillion dollars man to ever exist.

Forbes ni wazee wa propaganda tu, Mfano hapa bongo wanadai Mo ndo tajiri namba moja kwa data zao wakati kiuhalisia Bakhresa ndo mwny noti zaidi.!
Kwahiyo wewe unajua kuliko wao
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom