Hii ingetokea Bongo sijui ingekuwaje?

Farolito

JF-Expert Member
Sep 10, 2018
11,634
26,369
Mwaka 2005,Huko Vancouver Canada.
Kampuni ya Vioo ya Ulinzi (3M security Glass) walifanya tangazo la aina yake kwa kuweka kioo kigumu kisichopitisha risasi katika stendi ya mabasi na kuweka ndani yake kiasi cha fedha za kitanzania Bilioni 7(dola Mil 3).

Yeyote ambaye angefanikiwa kuvunja kioo hicho kwa kupiga,ngumi, teke kukimbia na kukiparamia au hata kutumia nyundo ile pesa ingekuwa halali yake ila hakuna aliyefanikiwa.

Je ingekuwa bongo sijui ingekuwaje?
IMG_20200817_115549.jpg
IMG_20200817_115509.jpg
 
Yani hapo hata nikishindwa lzm wanitoe kwa mtutu wa bunduki siwezi kukubali kirahisi hivi ati niruke mateke mawili tu then niondoke!,niende wapi nawakati mlungula uko hapo tena ikibidi nalala hapohapo..😅
hahahahahahaha
 
Mwaka 2005,Huko Vancouver Canada.
Kampuni ya Vioo ya Ulinzi (3M security Glass) walifanya tangazo la aina yake kwa kuweka kioo kigumu kisichopitisha risasi katika stendi ya mabasi na kuweka ndani yake kiasi cha fedha za kitanzania Bilioni 7(dola Mil 3).

Yeyote ambaye angefanikiwa kuvunja kioo hicho kwa kupiga,ngumi, teke kukimbia na kukiparamia au hata kutumia nyundo ile pesa ingekuwa halali yake ila hakuna aliyefanikiwa.

Je ingekuwa bongo sijui ingekuwaje?View attachment 1540034View attachment 1540035
Mambo mengine ni kujaribiana kwa imani yaani kama Shetani alivyomjaribu Yesu
 
Yani hapo hata nikishindwa lzm wanitoe kwa mtutu wa bunduki siwezi kukubali kirahisi hivi ati niruke mateke mawili tu then niondoke!,niende wapi nawakati mlungula uko hapo tena ikibidi nalala hapohapo..
 
Mwaka 2005,Huko Vancouver Canada.
Kampuni ya Vioo ya Ulinzi (3M security Glass) walifanya tangazo la aina yake kwa kuweka kioo kigumu kisichopitisha risasi katika stendi ya mabasi na kuweka ndani yake kiasi cha fedha za kitanzania Bilioni 7(dola Mil 3).

Yeyote ambaye angefanikiwa kuvunja kioo hicho kwa kupiga,ngumi, teke kukimbia na kukiparamia au hata kutumia nyundo ile pesa ingekuwa halali yake ila hakuna aliyefanikiwa.

Je ingekuwa bongo sijui ingekuwaje?View attachment 1540034View attachment 1540035
Makonda angewatuma wasiojulikana kuhakikisha wanaondoka na hicho kioo
 
M nahisi bongo kungekuwa na foleni ya watu kupiga nyundo na mateke,na isingechukua zaid ya lisaa watu wangeondoka na kitita kiulaiinii!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom