Farolito
JF-Expert Member
- Sep 10, 2018
- 11,634
- 26,369
Mwaka 2005,Huko Vancouver Canada.
Kampuni ya Vioo ya Ulinzi (3M security Glass) walifanya tangazo la aina yake kwa kuweka kioo kigumu kisichopitisha risasi katika stendi ya mabasi na kuweka ndani yake kiasi cha fedha za kitanzania Bilioni 7(dola Mil 3).
Yeyote ambaye angefanikiwa kuvunja kioo hicho kwa kupiga,ngumi, teke kukimbia na kukiparamia au hata kutumia nyundo ile pesa ingekuwa halali yake ila hakuna aliyefanikiwa.
Je ingekuwa bongo sijui ingekuwaje?