Mkuu unafahamu vizuri mchakato wa kutoa gari bandarini Au ICD? Ni ngumu sana kwa C&F agent kutumia documents moja kutoa/kusajilia gari 2.Naona mmewashambulia wenye magari direct. Hii ni michezo ya Clearing Agents wasio waaminifu wakishirikiana na wafanyakazi wa TRA au/na TPA.
Unampa Agent pesa akakulipie kodi na akija kukuletea faili haukagui deposit slip na other receipts hapo uwezekano wa kupigwa ni rahisi tu. Wanavyofanya hawa ni kutumia malipo ya Mteja mmoja ili kutoa na gari ya polo inayofanana na ya kwanza.
Hapa naona kabisa ya kushoto imerudiwa rangi niki zoomHyo ni gari moja. Ndo maana zote zimefunguliwa boneti. Ilipigwa picha moja wakacrop zikawa mbili kwny picha moja.
Ndio maana nimekuambia wanashirikiana na TRA na/au TPA. Ninaandika haya kwa usahihi kaka. Sababu tu ya hizi IDs basi sintoelezea zaidi. Lakini nina ushahidi wa gari mbili zilizopita bandarini kabisa lakini zikapigwa hilo tukio.Mkuu unafahamu vizuri mchakato wa kutoa gari bandarini Au ICD? Ni ngumu sana kwa C&F agent kutumia documents moja kutoa/kusajilia gari 2.
Hiyo ni michezo ya kununua kadi za gari zilizopata ajali na kuzivesha kwenye gari zilizopitia bandari bubu au kutokea zenji.
Mkuu, nakuelewa. Ila kiutaratibu documents za gari zinapita kwenye mikono mingi kabla halijatoka. Na ukaguzi wa maana. Kuanzia chassis number, engine, model etc ili kadi ifyatuliwe.Ndio maana nimekuambia wanashirikiana na TRA na/au TPA. Ninaandika haya kwa usahihi kaka. Sababu tu ya hizi IDs basi sintoelezea zaidi. Lakini nina ushahidi wa gari mbili zilizopita bandarini kabisa lakini zikapigwa hilo tukio.
Gari zilizopata ajali pia hufanyika, lakini haiwezi kutokea kwa gari mbili. Sababu wanaouza hizo kadi za ajali ni wale wachinjaji wa used spares, gari ambayo kadi yake inakua inauzwa inakua imeshachinjwa.
ila TPA kuna process ndefu mpaka ulipie tra na malipo yaonekane TANSIS , ndio wakutengenezee delivery order, upewe gate pass na zote zinatumika mara moja ukitoka umetoka , mzigo wa pili una taarifa tofauti kuanziaa bill of lading mpaka chasis number kwa jinsi wewe unafananisha kwa kuona kwenye system taarifa zake ni tofauti.Naona mmewashambulia wenye magari direct. Hii ni michezo ya Clearing Agents wasio waaminifu wakishirikiana na wafanyakazi wa TRA au/na TPA.
Unampa Agent pesa akakulipie kodi na akija kukuletea faili haukagui deposit slip na other receipts hapo uwezekano wa kupigwa ni rahisi tu. Wanavyofanya hawa ni kutumia malipo ya Mteja mmoja ili kutoa na gari ya polo inayofanana na ya kwanza.
Ni nafasi ya mtu kujulikana yeye ni nani ktk nchi hiiNgoja wamalize kuzikagua hapo WATERFRONT HOUSE.
Usicheze na kitu inayoishia 'Authority' hapa bongoland.
Sasa kwenye kadi hata wakifanya cloning huko TRA si lazima jina la mmoja wao tu ndio litaonekana kwenye kadi? Sasa huyo wa pili akiangalia na kuona jina la mtu mwingine kwenye kadi ya gari yak hastuki? Au wanaedit na kuweka lake? Daah, kweli watu wanambini za kuiba aisee..Naona mmewashambulia wenye magari direct. Hii ni michezo ya Clearing Agents wasio waaminifu wakishirikiana na wafanyakazi wa TRA au/na TPA.
Unampa Agent pesa akakulipie kodi na akija kukuletea faili haukagui deposit slip na other receipts hapo uwezekano wa kupigwa ni rahisi tu. Wanavyofanya hawa ni kutumia malipo ya Mteja mmoja ili kutoa na gari ya polo inayofanana na ya kwanza.
Watakuwa wamechukua plate na ya baunsa wakaweka hapo, hahahah, Gwajiboy bhana..Au wameedit maana hiyo nyingine ni kama ya baunsa hivi,
Aaagh, akina Gwajima mko wengiHyo ni gari moja. Ndo maana zote zimefunguliwa boneti. Ilipigwa picha moja wakacrop zikawa mbili kwny picha moja.
Watu wanakwepa kodi bila aibu
Hii ni possible. Ila kuna mmoja hapo ana fake plate number. Ndugu yangu alinunua Nissan Bluebird mwaka 2016. Amekuwa akilitumia bila wasi wasi, mwaka jana akapigiwa na simu na watu wa TRA Busega kwamba apeleke details za gari lake Police maana gari lake limekamatwa Busega na wasiwasi na umiliki wake. Akawaambia mbona gari analo hapa Dar? Kumbe kuna mtu kule analo gari of the same type, hata kadi ya gari sijui alipata wapi. Baada ya kumpeleka details zake police wakamwambia nenda sasa sijui jamaa wa Busega alichomoka vipi.Magari mawili tofauti lakini yanafanana namba za usajili. Wataalam wa haya mambo njooni mtupe elimu kuhusu huu mkanganyiko!
View attachment 1097732
Lakini kichwa ni chenyewe ni chake kabisa.Moja hapo itakuwa ni Feki, Kichwa na Kiwiliwili haviendani...
Siyo kweli. Angalia back ground yake, halafu angalia kwa makini kioo cha nyuma, moja ina lebo kote kote, nyingine upande m1.Hyo ni gari moja. Ndo maana zote zimefunguliwa boneti. Ilipigwa picha moja wakacrop zikawa mbili kwny picha moja.
Mkuu unafahamu vizuri mchakato wa kutoa gari bandarini Au ICD? Ni ngumu sana kwa C&F agent kutumia documents moja kutoa/kusajilia gari 2.
Hiyo ni michezo ya kununua kadi za gari zilizopata ajali na kuzivesha kwenye gari zilizopitia bandari bubu au kutokea zenji.
Yes, it huwa zina cross kwanza then zinarudi zikiwa zimewekewa hizo namba.Watu wanapitisha it hapohapo na inapewa namba hizo na kuendelea kutumika,mimi yalishanikuta kumshika mhusika ndio akasema hilo
Nikuulize mtaalamu....mbona background sawa? Au picha walipiga hapo hapo kituoni? Moja kuna Askari anakagua nyingine hamna askariHyo ni gari moja. Ndo maana zote zimefunguliwa boneti. Ilipigwa picha moja wakacrop zikawa mbili kwny picha moja.