Hii inawezekana vipi kutokea?

Greatest Of All Time

JF-Expert Member
Jan 1, 2017
20,713
45,096
Magari mawili tofauti lakini yanafanana namba za usajili. Wataalam wa haya mambo njooni mtupe elimu kuhusu huu mkanganyiko!
IMG_20190514_191243.jpeg
 
Mengine yanapitishiwa bandari bubu kukwepa kodi, kwahiyo wanatumia kadi ya gari ambayo ilishakatwa screpa. Ila hapa kuna kitu wamebugi
Cloning hiyo mtu anaenda na kadi ya gari anachonga plate namba mara mbili nyingine anampa mshikaji ambaye kaingiza gari kimagumashi au kea mpakani au kanunua zanzibar.
Naona mmewashambulia wenye magari direct. Hii ni michezo ya Clearing Agents wasio waaminifu wakishirikiana na wafanyakazi wa TRA au/na TPA.

Unampa Agent pesa akakulipie kodi na akija kukuletea faili haukagui deposit slip na other receipts hapo uwezekano wa kupigwa ni rahisi tu. Wanavyofanya hawa ni kutumia malipo ya Mteja mmoja ili kutoa na gari ya polo inayofanana na ya kwanza.
 
Back
Top Bottom