Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 20,713
- 45,096
Magari mawili tofauti lakini yanafanana namba za usajili. Wataalam wa haya mambo njooni mtupe elimu kuhusu huu mkanganyiko!
Cloning hiyo mtu anaenda na kadi ya gari anachonga plate namba mara mbili nyingine anampa mshikaji ambaye kaingiza gari kimagumashi au kea mpakani au kanunua zanzibar.Hapo kuna mmoja ana msala aisee,hachomoki hivi hivi hapo..
Ngoja wamalize kuzikagua hapo WATERFRONT HOUSE.Magari mawili tofauti lakini yanafanana namba za usajili. Wataalam wa haya mambo njooni mtupe elimu kuhusu huu mkanganyiko!
View attachment 1097732
Ni tofauti mkuu angalia vizuri.Hyo ni gari moja. Ndo maana zote zimefunguliwa boneti. Ilipigwa picha moja wakacrop zikawa mbili kwny picha moja.
Hyo ni gari moja. Ndo maana zote zimefunguliwa boneti. Ilipigwa picha moja wakacrop zikawa mbili kwny picha moja.
Magari mawili tofauti lakini yanafanana namba za usajili. Wataalam wa haya mambo njooni mtupe elimu kuhusu huu mkanganyiko!
View attachment 1097732
Angalia juu ya kioo cha nyuma utaona tofautiHyo ni gari moja. Ndo maana zote zimefunguliwa boneti. Ilipigwa picha moja wakacrop zikawa mbili kwny picha moja.
Mengine yanapitishiwa bandari bubu kukwepa kodi, kwahiyo wanatumia kadi ya gari ambayo ilishakatwa screpa. Ila hapa kuna kitu wamebugi
Naona mmewashambulia wenye magari direct. Hii ni michezo ya Clearing Agents wasio waaminifu wakishirikiana na wafanyakazi wa TRA au/na TPA.Cloning hiyo mtu anaenda na kadi ya gari anachonga plate namba mara mbili nyingine anampa mshikaji ambaye kaingiza gari kimagumashi au kea mpakani au kanunua zanzibar.
duuuuu kama gwajiboyMoja hapo itakuwa ni Feki, Kichwa na Kiwiliwili haviendani...
Unaangaliaje Mkuu?Hyo ni gari moja. Ndo maana zote zimefunguliwa boneti. Ilipigwa picha moja wakacrop zikawa mbili kwny picha moja.