hii inawezekana kwa nchi kubwa kama Tanzania!!!!!

nahisi hii page imewekwa na watalaam wa mambo na nnahisi hii website ni hackable maana nimechokoza sehemu nikaona error messages, msiniulize maswali sio mimi niliyesema byeeeeeeeeeeee

hebu 1. angalia hiyo link ya page
2. angalia tnbctz.com imetokea wapi? iyo page ni frame ambayo inapoint tnbctz.com ambayo sijui inauzwa au imexpire lakini haina uhusiano na tovuti ya serikali na obvious imewekwa pasipokujua au imewekwa na wasiojulikana
attachment.php
 
Attachments

  • untitledxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxx.JPG
    untitledxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxx.JPG
    111.6 KB · Views: 156
nahisi hii page imewekwa na watalaam wa mambo na nnahisi hii website ni hackable maana nimechokoza sehemu nikaona error messages, msiniulize maswali sio mimi niliyesema byeeeeeeeeeeee

hebu 1. angalia hiyo link ya page
2. angalia tnbctz.com imetokea wapi? iyo page ni frame ambayo inapoint tnbctz.com ambayo sijui inauzwa au imexpire lakini haina uhusiano na tovuti ya serikali na obvious imewekwa pasipokujua au imewekwa na wasiojulikana
attachment.php

Hata mim nlishangaa kuona hivyo!! Nkajiuliza anti virus mpaka kwenye national website!! Walianza na web ya tcu..jkt..sasa ni national web..Anyway mi si mtaalam wa computer ila huu ni utani na ni changamoto!!
 
hapo nahisi hajapark domain kwenye hosting. kuna kitu kimetokea kwenye hosting maybe imehackiwa, data zimefutwa au chochote kimetokea ikamlazimu aitoe domain kwenye hiyo hosting.

then sababu domain haijapakiwa wale walomuuzia domain wanatake advantage sasa. badala ya kuambiwa this website is not available wanaeka mtangazo.
 
website ipo full kabisaaa, ila kuna page moja unusual, ambayo uwa hackers baadhi staili yao ni kuwekapage ya html au faili .txt tu basi kisha wanaenda kule hackersdb kuonesha walichokifanya

mi kwa haraka haraka nimegundua site siyo salama, ukiiprovoke inakupa majibu....

nahisi jamaa wamepachika hako ka frame
 
Back
Top Bottom