hii inawezekana kwa nchi kubwa kama Tanzania!!!!!

ndupa

ndupa

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2008
Messages
4,442
Likes
57
Points
0
ndupa

ndupa

JF-Expert Member
Joined Jan 25, 2008
4,442 57 0
habari zenu wana jf!!! hivi siku hizi ni kwamba matangazo ya antivirus yapo kwenye WEBSITE YA TAIFA!!! Ni kwamba wataalam hatuna au inakuaje??? embu pita hapa The Tanzania National Website
swali ni je...Tanzania nzima hakuna wataalam wa I.T(computer) au tena tuunde tume?? hawa watu wenye hili jukumu hawajalipwa au?
@c 6 chiefmkwawa MziziMkavu Invisible na wengine...embu tuelewesheni hapa...
 
C.T.U

C.T.U

JF-Expert Member
Joined
Jun 1, 2011
Messages
4,784
Likes
1,378
Points
280
C.T.U

C.T.U

JF-Expert Member
Joined Jun 1, 2011
4,784 1,378 280
Swali la kizushi unajua maana ya Google Adsense??
 
MziziMkavu

MziziMkavu

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2009
Messages
40,028
Likes
5,491
Points
280
MziziMkavu

MziziMkavu

JF-Expert Member
Joined Feb 3, 2009
40,028 5,491 280
Mkuu.@LORDVILLE nimejaribu kufunguwa hiyo link sijaiona hayo matangazo ya Anti-virus wataalm wapo Tanzania wa IT ( Computer) wapo tele tu mkuu.
 
MziziMkavu

MziziMkavu

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2009
Messages
40,028
Likes
5,491
Points
280
MziziMkavu

MziziMkavu

JF-Expert Member
Joined Feb 3, 2009
40,028 5,491 280
Last edited by a moderator:
UncleUber

UncleUber

JF-Expert Member
Joined
Apr 25, 2011
Messages
4,987
Likes
200
Points
160
UncleUber

UncleUber

JF-Expert Member
Joined Apr 25, 2011
4,987 200 160
nahisi hii page imewekwa na watalaam wa mambo na nnahisi hii website ni hackable maana nimechokoza sehemu nikaona error messages, msiniulize maswali sio mimi niliyesema byeeeeeeeeeeee

hebu 1. angalia hiyo link ya page
2. angalia tnbctz.com imetokea wapi? iyo page ni frame ambayo inapoint tnbctz.com ambayo sijui inauzwa au imexpire lakini haina uhusiano na tovuti ya serikali na obvious imewekwa pasipokujua au imewekwa na wasiojulikana
 
Attachments:

Hata mim nlishangaa kuona hivyo!! Nkajiuliza anti virus mpaka kwenye national website!! Walianza na web ya tcu..jkt..sasa ni national web..Anyway mi si mtaalam wa computer ila huu ni utani na ni changamoto!!
 
Chief-Mkwawa

Chief-Mkwawa

Platinum Member
Joined
May 25, 2011
Messages
19,712
Likes
9,727
Points
280
Age
29
Chief-Mkwawa

Chief-Mkwawa

Platinum Member
Joined May 25, 2011
19,712 9,727 280
hapo nahisi hajapark domain kwenye hosting. kuna kitu kimetokea kwenye hosting maybe imehackiwa, data zimefutwa au chochote kimetokea ikamlazimu aitoe domain kwenye hiyo hosting.

then sababu domain haijapakiwa wale walomuuzia domain wanatake advantage sasa. badala ya kuambiwa this website is not available wanaeka mtangazo.
 
UncleUber

UncleUber

JF-Expert Member
Joined
Apr 25, 2011
Messages
4,987
Likes
200
Points
160
UncleUber

UncleUber

JF-Expert Member
Joined Apr 25, 2011
4,987 200 160
hapo nahisi hajapark domain kwenye hosting. kuna kitu kimetokea kwenye hosting maybe imehackiwa, data zimefutwa au chochote kimetokea ikamlazimu aitoe domain kwenye hiyo hosting.

then sababu domain haijapakiwa wale walomuuzia domain wanatake advantage sasa. badala ya kuambiwa this website is not available wanaeka mtangazo.
website ipo full kabisaaa, ila kuna page moja unusual, ambayo uwa hackers baadhi staili yao ni kuwekapage ya html au faili .txt tu basi kisha wanaenda kule hackersdb kuonesha walichokifanya

mi kwa haraka haraka nimegundua site siyo salama, ukiiprovoke inakupa majibu....

nahisi jamaa wamepachika hako ka frame
 
Forum statistics

Threads 1,275,113
Members 490,908
Posts 30,533,066