Tetesi: Hii inawezekana? Iphone 7 kuja na Dual Sim

mbona SE uchwara tuuu c bora wangebaki na ila 6+
Sijui Mi Naona SE Iko Poa Kwa Sababu Mi Ni Shabiki Mkubwa Wa 5s Pengine,,,,,na Hata Specs Zake Sio Mbaya,,,,vile Vile Ni Cheaper Than Hyo 7 Kama Ingetoka Nadhan Ingekuwa Expensive Kuliko Galaxy S7 Edge
 
Sio siri katika iphone zote dah am inlove with 5s kwakweli..yani great size
 
Back
Top Bottom