ENT
Member
- Apr 19, 2014
- 34
- 2
Habari wapendwa, mimi nina mpenzi wangu ambaye amenijulisha kuwa ana mimba yangu hivi majuzi baada ya kwenda kupima, kwani alikosa siku zake.
Mimi nilifanya naye mapenzi bila kutumia kinga na nilikuwa natoa mbegu (shahawa) nje pale ninapotaka kufika kileleni. Sasa kinachonishangaza hiyo mimba, nimempaje au ninapofika kileleni kuna shahawa zinazobaki uumeni?
Kwani nilikuwa naenda hadi raundi tatu nilikuwa nikitoa nje ya uke juu ya tumbo lake alafu narudisha tena uume ukeni nakuendelea.
Je hii kufikia kilele juu ya tumbo lake linaweza sababisha mimba?
Ushauri wapendwa.