Hii inaweza ikasababisha mimba?

ENT

Member
Apr 19, 2014
34
2
Habari wapendwa, mimi nina mpenzi wangu ambaye amenijulisha kuwa ana mimba yangu hivi majuzi baada ya kwenda kupima, kwani alikosa siku zake.

Mimi nilifanya naye mapenzi bila kutumia kinga na nilikuwa natoa mbegu (shahawa) nje pale ninapotaka kufika kileleni. Sasa kinachonishangaza hiyo mimba, nimempaje au ninapofika kileleni kuna shahawa zinazobaki uumeni?

Kwani nilikuwa naenda hadi raundi tatu nilikuwa nikitoa nje ya uke juu ya tumbo lake alafu narudisha tena uume ukeni nakuendelea.

Je hii kufikia kilele juu ya tumbo lake linaweza sababisha mimba?

Ushauri wapendwa.
 
hiyo yako mjomba unahitaji technique zaidi kutumia hyo njia. Ulitakiwa baada ya kupiz hapo nje upumzke kdogo then ukakojoe mkojo wa kawaida hapo unakua umeua sperms zote zilizobaki sa kama we ukitoa tu unarudishia dushe lako pengine hata kulifuta hulifuti hapo ujiandae kulea tu
 
dah ndugu zang mambo ya baba sasa yameanza kama ndo ivyo mambo tayari
 
hiyo yako mjomba unahitaji technique zaidi kutumia hyo njia. Ulitakiwa baada ya kupiz hapo nje upumzke kdogo then ukakojoe mkojo wa kawaida hapo unakua umeua sperms zote zilizobaki sa kama we ukitoa tu unarudishia dushe lako pengine hata kulifuta hulifuti hapo ujiandae kulea tu

naona anataka kukimbia majukum baada ya mshahara wa zinaa
 
mambo sensitive kama haya sio ya kuja kuyafanyia utafiti baada ya kufanya... Hapo we jipange tu tayari ushapata mtoto.
hiyo njia ya kumwaga nje hua ni effective asilimia kama 50 tu, wanaume wengi wanatoa sperms kdg kdg wakati wa tendo lenyewe usidhani zile nyingi ndo zinacause mimba, kamoja tu ndo kanahitajika hata si viwili... Oa na kuoa kabisa..

Alafu hii elimu kwa nini shuleni sikuwahi kupewa au nyumbani, niliitafuta mwenyewe tu kwenye vitabu, ni kitu inabidi watu wafundishwe wazazi waweke watoto chini maana abortion zimezidi kwa kweli... kuna mahala ukienda utakuta wanafunzi wa shule wamepanga foleni form two, three, four hadi huruma
 
Habari wapendwa, mimi nina mpenzi wangu ambaye amenijulisha kuwa ana mimba yangu hivi majuzi baada ya kwenda kupima, kwani alikosa siku zake.

Mimi nilifanya naye mapenzi bila kutumia kinga na nilikuwa natoa mbegu (shahawa) nje pale ninapotaka kufika kileleni. Sasa kinachonishangaza hiyo mimba, nimempaje au ninapofika kileleni kuna shahawa zinazobaki uumeni?

Kwani nilikuwa naenda hadi raundi tatu nilikuwa nikitoa nje ya uke juu ya tumbo lake alafu narudisha tena uume ukeni nakuendelea.

Je hii kufikia kilele juu ya tumbo lake linaweza sababisha mimba?

Ushauri wapendwa.

Una mingapi?
 
mwanaume wa kweli haikimbii mimba yake, hapo we andaa hela ya nepi na mambo ka hayo
 
Back
Top Bottom