Hii inawahusu wanaume wote

Sefu jafary

JF-Expert Member
Jun 5, 2016
382
258
Ukiachialia mbali tatizo la upungufu wa nguvu za kiume ambapo wengi wetu wanashindwa kuwakuna wapenzi wao ipaswavyo hali inayopelekea shida katika mahusiano. Tofauti na hilo kuna tatizo la wanaume kuwa na uume mkubwa au mdogo kuliko kawaida, hii inapelekea kupata shida au kuwapa shida wapenzi wao wakati wa kufanya mapenzi.

By nature ukubwa wa uume ambao unaweza kumridhisha mwanake yeyote ni 7 Inches zikizidi hizo inakuwa ni tatizo. Kwa kawaida ni wachache sana wanaozaliwa na hali kama hiyo ila wengi hutumia madawa kurefusha machine zao kwa lengo la kuleta heshima, hivi ni kweli kurefusha uume ni kuleta heshima katika mahusiano ?

Ni vyema kila mmoja akapima machine yake kwa kutumia ruler, kama itakuwa ipo above 7 Inches ( 8, 9,10..) atafute style zitakazo mfanya afurahie tendo la ndoa bila kumuathiri mwenza wake. Pia kama itakuwa chini ya 4 Inches ( 3.5,3,2.5... ) tumia maufundi kuhakikicha baby wako anafurah tofauti na kutumia madawa.

NB: Kama utapenda kujua ukubwa wa dudu lako hakikisha limesimama ndo uchukue vipimo. Madhara ya kurefusha uume yanaweza kuwa makubwa kuliko madhara yanayowapata akina dada wanapokosea dawa za kuongeza makalio.

Shake before use.
 
Pia kama itakuwa chini ya 4 Inches ( 3.5,30,2.5... )
Mkuu..! Hizo Inches hapo juu kwenye mabano mkuu..!:D:D
mi naona hilo ni tatizo ambalo limemzidi tatizo, sidhani kama kuna style tena hapo..
2.5 kweli jamani..!:D
 
Mm labda nitumie ile rula ya kupimia barabara hizi za shule hazitoshi
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom