MAKRESH MMAKA
Senior Member
- Apr 14, 2013
- 155
- 19
Hii jamani inatisha wana mmu kwasababu inakuwaje watu wanatafuta wachumba wa kiume wakiweka thread zao kuwa wanatafuta wachumba huwa post ni chache ila wasichana wakitafuta wachumba thread zao zinakuwa na post nyingi kwa uchunguzi wangu umegundua hivyo.je wote mnao post na kutuma pm mtakubaliwa wote au ndio kusema wanaume tupo wengi humu mmu kuliko wanawake