Hii inatia kichefuchefu ukiona | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hii inatia kichefuchefu ukiona

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by zamo, Apr 20, 2012.

 1. z

  zamo Member

  #1
  Apr 20, 2012
  Joined: Apr 9, 2012
  Messages: 39
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jamani niko kwenye mazishi ya baba yake Mary Nagu hapa kateshi na jamaa anaeitwa E.L kaingia hapa na msafara wa mashangingi oh God! inauma wakuu hawa watu wanaharibu pesa zetu, nitawapa update baadae kitakachojiri hapa
   
 2. mizambwa

  mizambwa JF-Expert Member

  #2
  Apr 20, 2012
  Joined: Oct 8, 2008
  Messages: 4,409
  Likes Received: 569
  Trophy Points: 280
  Kwani huo msafara ni wa magari ya Serikali au Private Cars???

  Chunguza hili jambo pia.  MIZAMBWA
  NABII MTARAJIWA!!!
   
 3. Osaka

  Osaka JF-Expert Member

  #3
  Apr 20, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 1,766
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  Please please; ktk updates zako attach na picha, ikiwezekana na E.L. aonekane.
   
 4. z

  zamo Member

  #4
  Apr 20, 2012
  Joined: Apr 9, 2012
  Messages: 39
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ndugu zingekuwa ni za prvt nivngesikia hiki kichefuchefu gari zote hapa ambazo ni shangingi nying ni mali yetu, cha ajabu tazama attchmnt gari zimewekwa plate number za prvt ila ni stk
   
 5. Dotworld

  Dotworld JF-Expert Member

  #5
  Apr 20, 2012
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 3,932
  Likes Received: 145
  Trophy Points: 160
  [​IMG]
   
 6. Prof Gamba

  Prof Gamba JF-Expert Member

  #6
  Apr 20, 2012
  Joined: Jun 10, 2011
  Messages: 390
  Likes Received: 114
  Trophy Points: 60
  Nilikuwa nataka kula, nimeogopa kufungua kabla ili nisije nikatapika hicho kichefuchefu. Nimemaliza ndo nafungua kumbe ni walewale watafuna nchi! Heading hizi bwana!!!
   
 7. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #7
  Apr 20, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  duuu hili jibu..
  huyu mzee si ameshaoza maana toka amekufa itabidi uuchune tu..
   
 8. Ndallo

  Ndallo JF-Expert Member

  #8
  Apr 20, 2012
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 7,134
  Likes Received: 1,089
  Trophy Points: 280
  Mbona kutoka bungeni Spika hajawatangazia wabunge kuhusiana na msiba huu? kwani naye si mbunge mwenzao?
   
Loading...