Hii inasikitisha kwa wasomi wa Shinyanga??! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hii inasikitisha kwa wasomi wa Shinyanga??!

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by jonb09, Jan 12, 2010.

 1. j

  jonb09 New Member

  #1
  Jan 12, 2010
  Joined: Sep 27, 2009
  Messages: 3
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ndugu wana JF!

  Ninasikitishwa sana na hali ya kielimu ya mkoa wa Shinyanga kuanzia ngazi ya chini. Kwa kweli mkoa huu umekuwa nyuma kielimu, mfano ukiangalia kuanzia ngazi ya msingi na kuendelea. Pia ukiangalia hata shule zetu za kata ni za kubabaisha.
  Mara nyingi tumekuwa tukiilaum serikali kwa kutokujali elimu (Hili lina ukweli wake), lakini hata sisi kama wasomi tunayo nafasi ya kutoa mikakati ambayo kwa namna moja ama nyingine itasaidia kuukoa huu mkoa wetu. Kupata mawazo ya ya jinsi ya kusolve tatizo ni zaidi ya nusu ktk kusolve tatizo..


  Kila mara utasikia Shinyanga, Shinyanga imeshika mkia! Why? Why Shinyanga Shinyanga kila wakati? No!! Enough is Enough! mi binafsi nimechoka kusikia hii kauli !

  Kwa wale wasomi kutoka mkoa wa Shinyanga, popote mlipo duniani, ni wakati wenu wa kutoa mawazo yenu ili tuweze kuondokana na hii hali..

  Kwa kuanzia naomba wale walio facebook, wajiunge SHINYANGA WASOMI COMMUNITY. Email ya Community ni obheja2010@gmail.com.

  "Shinyanga!.. Raise education to the peak"... 2010

  Mtu yeyote mwenye mapenzi na mkoa wa Shinyanga anakaribishwa kujiunga ili atoe mchango wake wa mawazo.

  Na kama kuna mtu anaweza akafungua community ya Shinyanga mahala pengine afanye hivyo haraka hali si nzuri mkoani kwetu. Na kama atafungua basi tuziunganishe hizi communities za Wasomi wa Shinyanga..

  Jon..
   
 2. M

  Mundu JF-Expert Member

  #2
  Jan 12, 2010
  Joined: Sep 26, 2008
  Messages: 2,719
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  Sasa kila mtu akija hapa kwenye forums na kuhamasisha watu wa kijijini kwake wachangie maendeleo tutakuwa tunajadili kweli?

  Ni wazo zuri kuchangia kuleta maendeleo sehemu husika, lakini hapa ni kwa manufaa ya jamii nzima, otherwise iwe shida ya dharula, kama ile harambee ya mzee mwanakijiji kuhusu waliopatwa na maafa ya mafuriko! nawakilisha.
   
 3. bht

  bht JF-Expert Member

  #3
  Jan 12, 2010
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 10,341
  Likes Received: 209
  Trophy Points: 160
  jonb09, hizi nyuzi zako ziko 2 na zinafana, omba moja itolewe kwa manufaa ya wachangiaji basi
   
 4. Einstein

  Einstein Senior Member

  #4
  Jan 12, 2010
  Joined: Dec 5, 2009
  Messages: 122
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0

  Mtoa hoja ana maana nzuri.. Maendeleo ya taifa yanaanzia chini kwenda juu, na si juu kuja chini.
   
Loading...