Hii inasikitisha kwa wasomi wa Shinyanga??! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hii inasikitisha kwa wasomi wa Shinyanga??!

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by jonb09, Jan 12, 2010.

  1. j

    jonb09 New Member

    #1
    Jan 12, 2010
    Joined: Sep 27, 2009
    Messages: 3
    Likes Received: 0
    Trophy Points: 0
    Ndugu wana JF!

    Ninasikitishwa sana na hali ya kielimu ya mkoa wa Shinyanga kuanzia ngazi ya chini. Kwa kweli mkoa huu umekuwa nyuma kielimu, mfano ukiangalia kuanzia ngazi ya msingi na kuendelea. Pia ukiangalia hata shule zetu za kata ni za kubabaisha.
    Mara nyingi tumekuwa tukiilaum serikali kwa kutokujali elimu (Hili lina ukweli wake), lakini hata sisi kama wasomi tunayo nafasi ya kutoa mikakati ambayo kwa namna moja ama nyingine itasaidia kuukoa huu mkoa wetu. Kupata mawazo ya ya jinsi ya kusolve tatizo ni zaidi ya nusu ktk kusolve tatizo..


    Kila mara utasikia Shinyanga, Shinyanga imeshika mkia! Why? Why Shinyanga Shinyanga kila wakati? No!! Enough is Enough! mi binafsi nimechoka kusikia hii kauli !

    Kwa wale wasomi kutoka mkoa wa Shinyanga, popote mlipo duniani, ni wakati wenu wa kutoa mawazo yenu ili tuweze kuondokana na hii hali..

    Kwa kuanzia naomba wale walio facebook, wajiunge SHINYANGA WASOMI COMMUNITY. Email ya Community ni obheja2010@gmail.com.

    "Shinyanga!.. Raise education to the peak"... 2010

    Mtu yeyote mwenye mapenzi na mkoa wa Shinyanga anakaribishwa kujiunga ili atoe mchango wake wa mawazo.

    Na kama kuna mtu anaweza akafungua community ya Shinyanga mahala pengine afanye hivyo haraka hali si nzuri mkoani kwetu. Na kama atafungua basi tuziunganishe hizi communities za Wasomi wa Shinyanga..

    Jon..
     
  2. tgeofrey

    tgeofrey JF-Expert Member

    #2
    Jan 12, 2010
    Joined: Jan 29, 2008
    Messages: 526
    Likes Received: 0
    Trophy Points: 0
    hamna elimu tanzania mzima maprofesa wenyewe hawajui kijitengenezea ajira wanapigania kuajiriwa mpaka wafe kazini. Haya nimaatizo ya nchi nzima tumeshayafanyia kazi bila kutumia hata ndururu ya kodi ya wananchi kaa mikao ya kula. Yanahitaj total quality managment (tqm)
     
  3. Victoire

    Victoire JF-Expert Member

    #3
    Jan 12, 2010
    Joined: Jul 4, 2008
    Messages: 10,451
    Likes Received: 7,197
    Trophy Points: 280
    kweli ni tatizo,ila sasa bora tuanzie chini kujikomboa ndo hivyo yunaponya taifa
     
  4. tgeofrey

    tgeofrey JF-Expert Member

    #4
    Jan 12, 2010
    Joined: Jan 29, 2008
    Messages: 526
    Likes Received: 0
    Trophy Points: 0
    hamna elimu tanzania mzima maprofesa wenyewe hawajui kijitengenezea ajira wanapigania kuajiriwa mpaka wafe kazini. Haya nimaatizo ya nchi nzima tumeshayafanyia kazi bila kutumia hata ndururu ya kodi ya wananchi kaa mikao ya kula. Yanahitaj total quality managment (tqm)
     
  5. tgeofrey

    tgeofrey JF-Expert Member

    #5
    Jan 12, 2010
    Joined: Jan 29, 2008
    Messages: 526
    Likes Received: 0
    Trophy Points: 0
    neema imesha funguliwa ni kuipokea tuu
     
  6. m

    mmakonde JF-Expert Member

    #6
    Jan 12, 2010
    Joined: Dec 26, 2009
    Messages: 967
    Likes Received: 18
    Trophy Points: 0
    Tangu uhuru,baada ya Nyerere kuwaweka vizuizini wa akina Makani,mkoa huu umekuwa nyuma sana.Mbali na kutoa pamba,alimasi kwa muda mrefu,mchele kwa wingi na mazao mengine,Shinyanga bado iko nyuma sana.Wabunge wetu hawana profile yoyote,tangu siki za Derefa.

    CCM kwanguvu zote haikutaka Bob Makani awe mmbunge ,maana huyu ni genuine angeweza kutetea Shinyanga kwa udi na uvumba.
    Maoni yangu serikali ingeweza kujenga chuo kikuu mikoa hii(Tabora,Shinyanga,Mwanza).Miaka yote Shinyanga haina vyuo vya elimu(nakumbuka Kizumbi tu)

    Kwa upande wengine,hata wasukuma waliosoma toka shinyanga they dont care about
    the region wengi wamejenga Dar na Morogoro.At least wachaga popote walipo wanajenga mgombani !
     
  7. Kipala

    Kipala JF-Expert Member

    #7
    Jan 12, 2010
    Joined: Jan 10, 2009
    Messages: 3,537
    Likes Received: 80
    Trophy Points: 145
    Wenyeji semeni: Je si Shinyanga wanapoua kwa wingi wale maskini wanaowaita wachawi?
     
  8. Einstein

    Einstein Senior Member

    #8
    Jan 13, 2010
    Joined: Dec 5, 2009
    Messages: 122
    Likes Received: 1
    Trophy Points: 0
    Unachokisema kina ukweli, kuna watu wanauawa. Wakiwemo bibi vikongwe na wanaosadikiwa kuwa wachawi. Hili linachangiwa na kutokuwa na ufahamu. Na elimu ingekuwa mkombozi wetu kwa kweli.
     
  9. Pengo

    Pengo JF-Expert Member

    #9
    Jan 13, 2010
    Joined: Oct 15, 2009
    Messages: 579
    Likes Received: 3
    Trophy Points: 0
    Kama Shibuda anatoka huko basi hilo ni wazi kabisa kuwepo maana huyo jamaa ni pumba haswa!
     
  10. epigenetics

    epigenetics JF-Expert Member

    #10
    Jan 13, 2010
    Joined: May 25, 2008
    Messages: 260
    Likes Received: 31
    Trophy Points: 45


    Ungeweka link ya hiyo facebook group hapa ili watu wapate kuaccess kirahisi, kwani kwa search ya haraka haraka kwenye FB imekuwa hola.
     
Loading...