Hii inaonyesha dhahiri kwamba rais utayari wa kuitumikia nchi pasipo kujenga mataba | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hii inaonyesha dhahiri kwamba rais utayari wa kuitumikia nchi pasipo kujenga mataba

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by rafiki2010, Sep 23, 2010.

 1. r

  rafiki2010 Member

  #1
  Sep 23, 2010
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 23
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  NANUKUU KWA KUSEMA

  Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Mgombea Urais wa Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu amesema kuwa ni wajibu wa Watanzania kuwakataa wanasiasa wachovu ambao wanatumia kampeni za sasa kuwagawa wananchi kwa misingi ya ubaguzi.

  Hili ni jambo la wazi ambalo watanzania wenye kuipenda nchi yao yawapasa kulifanya hili pasipo kulifanya hilo hao si watanzania wenye kuitakia tanzania indelee kuwa nchi ya amani na utullivu . Hili limejitokeza kwa vyama pinzani wakati wa kizinadi sera zao katika majukwa ya siasa . chakushangaza waacha kufanya kilicho wapeleka maju kwaani na hitime kuwajaza watanzani chuki na hasira miyoyoni mwao . hili siii jambo jema kwa hakika yatupasa tubadilike na kufanya kampeni yenye mtizamo chanya kwa taifa zima kwa ujumla
   
 2. M

  Mkandara Verified User

  #2
  Sep 23, 2010
  Joined: Mar 3, 2006
  Messages: 15,443
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 160
  Hata kuzungumzia Mafisadi ni chuki ya kuwagawa wananchi?
   
 3. Jatropha

  Jatropha JF-Expert Member

  #3
  Sep 23, 2010
  Joined: Apr 9, 2009
  Messages: 1,152
  Likes Received: 144
  Trophy Points: 160

  sera za ccm za kuwashurutishawananchi wanyongena maskini kuchangia huduma za jamii kama vile elimu,afya, maji safi n.k ndio zinajenga ubaguzi na matabaka nchini tanzania. Mifano hai ni, wakati watoto wawafanyakzi na wakulima hutembea kwa miguu kwenda shule kilomita kadhaa kila siku asubuhi na jioni, na wengine kubughudhiwa na makondakta katika usafiri wa dala dala, na kupelkekea watoto wa kike kupachikwa mimba.

  Watoto wa viongozi na watendaji wa serikali ya ccm hutumia rasli mali za serikali kwenda na kurudi shule, wakati watoto wa wakulima na wafanyakazi wanarundikwa hadi wanafunzi 100 katika darasa moja, watoto wa viongozi na watendaji wa serikali ya ccm wanasoma katika shule za kulipia ambao daras moja lina kati ya wanafunzi 30-45 tu. Wakati watoto wa wafanyakazi na wakulima wanashindishwa katika shule za kata bila waalimu na vifaa vya kufundishia,
  watoto wa viongozi na watendaji wa serikali ya ccm hupelekwa kusoma nje ya nchi kwa fedha zinzopatikana kwa ubadhirifu wa mali za umma.

  wakati9 wafanyakazi na wakulima wanakosa hudumna za afya katika hospiatalai, vituo vya afya na zahanati chache zilizopo, familia za
  watoto wa viongozi na watendaji wa serikali ya ccm hupelekwa kwa matibabu nje ya nchi hata kwa magonjwa madogo madogo kwa rasali mali za taifa

  katika hali hii, kati ya ccm au vyama vya upinzani ni yupi anajenga ubaguzi na matabaka hapa nchini kwa sera na vitendo?

  Ili kuwafanya watanzania wote kuwa sawa serikali ya mwalimu nyerere ilitoa huduma za kijamii bure bilakujali wadhifa wa mtu, kati ya watoto wa viongozi, wa wafanyakazi na wakulima? Enzi hizo wote tulipata matibabu sehemu moja kutokea rais hadi mkulima.
   
 4. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #4
  Sep 23, 2010
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,519
  Likes Received: 19,940
  Trophy Points: 280
  nenda zako huko...unaumwa wewe.
   
 5. P

  PapoKwaPapo JF-Expert Member

  #5
  Sep 23, 2010
  Joined: Jun 5, 2008
  Messages: 380
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  mbona yeye keshatugawa,,,,
   
 6. Jatropha

  Jatropha JF-Expert Member

  #6
  Sep 23, 2010
  Joined: Apr 9, 2009
  Messages: 1,152
  Likes Received: 144
  Trophy Points: 160
  sera za ccm za kuwashurutishawananchi wanyongena maskini kuchangia huduma za jamii kama vile elimu,afya, maji safi n.k ndio zinajenga ubaguzi na matabaka nchini tanzania. Mifano hai ni, wakati watoto wawafanyakzi na wakulima hutembea kwa miguu kwenda shule kilomita kadhaa kila siku asubuhi na jioni, na wengine kubughudhiwa na makondakta katika usafiri wa dala dala, na kupelkekea watoto wa kike kupachikwa mimba.

  Watoto wa viongozi na watendaji wa serikali ya ccm hutumia rasli mali za serikali kwenda na kurudi shule, wakati watoto wa wakulima na wafanyakazi wanarundikwa hadi wanafunzi 100 katika darasa moja, watoto wa viongozi na watendaji wa serikali ya ccm wanasoma katika shule za kulipia ambao daras moja lina kati ya wanafunzi 30-45 tu. Wakati watoto wa wafanyakazi na wakulima wanashindishwa katika shule za kata bila waalimu na vifaa vya kufundishia,
  watoto wa viongozi na watendaji wa serikali ya ccm hupelekwa kusoma nje ya nchi kwa fedha zinzopatikana kwa ubadhirifu wa mali za umma.

  wakati9 wafanyakazi na wakulima wanakosa hudumna za afya katika hospiatalai, vituo vya afya na zahanati chache zilizopo, familia za
  watoto wa viongozi na watendaji wa serikali ya ccm hupelekwa kwa matibabu nje ya nchi hata kwa magonjwa madogo madogo kwa rasali mali za taifa

  katika hali hii, kati ya ccm au vyama vya upinzani ni yupi anajenga ubaguzi na matabaka hapa nchini kwa sera na vitendo?

  Ili kuwafanya watanzania wote kuwa sawa serikali ya mwalimu nyerere ilitoa huduma za kijamii bure bilakujali wadhifa wa mtu, kati ya watoto wa viongozi, wa wafanyakazi na wakulima? Enzi hizo wote tulipata matibabu sehemu moja kutokea rais hadi mkulima.

  kama kuna kitu kinawajza wananchi chuki na hasira ni vitendo vya ccm kuwapitisha watu wenye tuhuma za ufisadi kugombea ubunge, na kisha rais wa jamhuri ya muungano wa tanzania mhe jakaya kikwete kuwanadi kana kwamba hakuna lolote lililotokea.

  wapinzani wakiongozwa na chadema wanafanya kampeni chanya kwa kupiga vita ufisadi katikamajukwaa pasipo unafiki hata chembe. Hali hii inawafanya wananchi kujazana kwa maelfu katika mikutano ya wapinzani pasipo kubebwa na malori, mabasi magari madogo, pikpiki kulipiwa mafuta na kutokuwepo vikundi vya burudani kama ilivyo kwa mikutano ya kampeni ya ccm.

  Hii ni dalili tosha kwa wapinzani wanafanya kampeni chanya kwa kuzungumzia vidonda ndugu vya taifa hili, tofauti na ccm ambayo inageuza uchaguzi mkuu na kampeni kuwa matamasha ya sanaa.

 7. Bhbm

  Bhbm JF-Expert Member

  #7
  Sep 23, 2010
  Joined: Oct 31, 2009
  Messages: 716
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Huyo jini kibaraka wa mafisadi katumwa kuja kutuandikia huo utumbo wake akidhani wote ni wapumbavu kama yeye wa kudanganywa na vijisenti vya kifisadi, laana yote itakayoipata ccm ikupate na wewe pia maradufu.
   
 8. r

  rafiki2010 Member

  #8
  Sep 27, 2010
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 23
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mtu anezungumzia watu ni useless people , mtu aneongelea facts kwa hakika ni mtu mwenye busara , kwa hiyo hata hao wanapinzani bora wakaongelea sera zao majukwani ,,,,,,, mashitaka na mazungumzo yote yanayohusia na mashitaka bora wakapeleke mahakamani
   
 9. Nyunyu

  Nyunyu JF-Expert Member

  #9
  Sep 27, 2010
  Joined: Mar 9, 2009
  Messages: 4,370
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 160
  Watu kama rafiki 2010 ni mmoja wa matapeli wa haki katika nchi hii.

  Hawa ndiyo wale wanafaidika na keki, kwa hiyo wanataka wao tu ndo waendelee kufaidi.

  Ku#@dade@!...... moto ule ule tu...
   
 10. Ntemi Kazwile

  Ntemi Kazwile JF-Expert Member

  #10
  Sep 27, 2010
  Joined: May 14, 2010
  Messages: 2,145
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Awful! I can't even understand what you are writing
   
 11. Henge

  Henge JF-Expert Member

  #11
  Sep 27, 2010
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 6,767
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  aiseee pole sana bwana kumbe ccm oyeee!!!:confused2:
   
Loading...