Hii inamaanisha wanaume ni wangonokaji | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hii inamaanisha wanaume ni wangonokaji

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Edmund, Dec 16, 2009.

 1. E

  Edmund Senior Member

  #1
  Dec 16, 2009
  Joined: Jul 17, 2009
  Messages: 122
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Kwanza kabisa sifa moja kuu ya msomaji habari ni pamoja kuwa na uwezo wa kuichambua na kuielewa habari husika

  Basi ndugu zangu wa JF siku ya jana nilipata bahati ya kupitia habari moja kutoka gazeti moja la michezo la kiswahili litokalo mara mbili kwa juma yenye kichwa cha habari kisemacho "WATU 42,000 WATAAMBUKIZWA UKIMWI KOMBE LA DUNIA AFRIKA KUSINI 2010"

  Hapa nikatoka na mambo yafuatayo baada ya kuipitia kwa undani.
  1. Kwamba watu 42,000 watapata maambukizi mapya baada ya fainali hizo, kwani mashabiki wengi watataka kulala na WANAWAKE WA AFRIKA KUSINI
  2. Pia wengi kati ya wataoambukizwa ni wanaume wageni, hivi wanaJF tujiulize kwani wanaume hawana uwezo wa kukaa mwezi mzima bila "KUCHEDA" wanawake. je ni kwanini wanaume wanakataa tabia yao ya UMALAYA wakati habari hii inatupa majibu ya Idadi ya watakaoathirika watarajiwa ambao pia ni wanaume.
  3. Vilevile inaonyesha, ili kupata ladha ya mapenzi pindi wanaume wanapotembea na wanawake wa ladha tofauti kwa rangi, kabila, hata dini tofauti hujitahidi kuweka kinga pembeni ili kupata/kufaidi "LADHA YA NYAMA KWA NYAMA" ya wanawake hao.
   
 2. klorokwini

  klorokwini JF-Expert Member

  #2
  Dec 16, 2009
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 8,710
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 135
  hawa wanaume unaowaongelea watangonoka na kina nani? kama jibu la hili suali ni ova 18 niPM.
   
Loading...