Hii inamaanisha nn

CHAWAPOMA

Member
Mar 18, 2012
24
0
Assistant Supervisor
FLP International

Date Listed: Dec 3, 2012
Email Address: Click to Email
Area: USA
Application Deadline: Jun 30, 2013
Start Date: Dec 04, 2012


Position Description:

International Distributor, Teach and couching other colleagues, Work ethusiasticaly to achieve the highly demanding requirements of the company case credits.
Age should be strictly between 25-55 years old.
Qualifications: Applicant should hold at least ONE Degree in the respective position, Others will be considered as well.
Experience is not necessary. We believe new people can achieve just as best so long as they are teachable and ready to learn and work hard.Application Instructions:

Application Should be sent to;
PMM-FLP LTD
P.O.Box 12454-Arusha TZ
or to the email: <pmiku232@gmail.com>

HEBU CHEKI DATE POSTED,DEADLINE NA START DATE CJAWAXOMA HAPO
 

mwila

Member
Oct 17, 2012
39
0
Hawa ni zoomtanzania, hiyo start date ni tarehe inayoonyesha lini tangazo hili limewekwa kwenye website yao!! Haihusiani na hiyo ofisi iliyotoa hilo tangazo!! Angalia na matangazo mengine walivyopost utakuta wanayoweka au waliowahikuweka utakuta hiyo kitu! Usiogope!!
 

CHAWAPOMA

Member
Mar 18, 2012
24
0
Hawa ni zoomtanzania, hiyo start date ni tarehe inayoonyesha lini tangazo hili limewekwa kwenye website yao!! Haihusiani na hiyo ofisi iliyotoa hilo tangazo!! Angalia na matangazo mengine walivyopost utakuta wanayoweka au waliowahikuweka utakuta hiyo kitu! Usiogope!!

Thanks nimekusoma....
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom