Hii inachekesha sana!

Jimjuls

JF-Expert Member
Jun 10, 2011
484
161
Fuuny.jpg

Toa maoni yako, unadhani kwanini mhusika/wahusika wameweka hili tangazo hapo?
 
Na kwa kina dada wenye mahudhurio mazuri ya hivi vibanda umiza si ajabu mimba wanazobeba sina michango ya watu wengi ikiwa taulo hazioshwi kwa kiwango cha kuridhisha!
 
Mmmh!haya ujumbe umefika sijui kama wataacha,Lol!mazoea naye shida
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom