Hii ina maana gani

Wewe mwenyewe huenda ukawa mwanaume mwenye ma devu kabisa. Take it easy, ndo game za hapa.
 
Za leo ndugu zangu, eti inakuwa vipi unakutana na mtu hapa kwenye JF mnaanza mawasiliano siku ya kwanza tu hata hamjaonana mtu anaanza kuongelea mambo ya ngono. Hawa wenye tabia hii Hivi ni ustaarabu gani jamani

"JF" ni kama Casino yenye kamari !! Ukiaanza kutia dau.. ya upate au upatwe !!
Lakini watastaarabika one day !!
 
Maana yake jifunze ku-simplify mambo! Usichukulie maisha kwa u-serious sana!

Kama hivi yani, mumeongeleshana mambo yenu hukoo wewe umeyabeba hadi hapa! Ume create space ya kuambiwa hayo uliyoambiwa, haiwezekani uambiwe tuu hivi hivi!

Au labda me ndio 'Mgeni' sana hapa sielewi mambo yanavyoenda humu forum??

Sent from my WhiteBerry using JamiiForums
 
kama alikosea namba ya simu kwa bahati mbaya au makusudi na wewe ukampa ushirikiano,basi huwa ndo matokeo yake...
 
Ile kitu ile nitamu zaidi ya utamu wote duniani!Acha tuendelee kula tunda babu adamu alilo ligundua!
 
Ahhhahha mkuu mwenzio akijidai anajua ule wewe unajidai unajua huu akijitoa faham wewe wehuka mtaenda sawa wapotezee tu kama unaona havina mana kwako trust me kuna mtu humu sikwenda kuonana nae amefkia hatua ya kunita malaya kisa sikwenda huko alipo najiuliza umalaya wangu kaujuaje??? Au nilimvulia nguo ndugu yake wa karibu au vip ila nikaja kuona jibu la mjinga n kukaa kimya
 
Back
Top Bottom