Hii Imewahi Kutokea Jirani na Katavi National Park..!!

Katavi

Platinum Member
Aug 31, 2009
41,983
12,700
Hawa jamaa ni hatari sana hasa kwa watu wanaoishi jirani na mbuga za wanyama...
 
Attachments

  • 420455_279431332125142_1639383753_n.jpg
    420455_279431332125142_1639383753_n.jpg
    56.3 KB · Views: 498
Inaonekana simba alikuwa bado ajaanza kumtafuna,lakini jamaa yawezekana alikuwa ameshakufa au alikuwa amepoteza fahamu!
 
huyo simba ni mzee, typical kabisa ya tabia ya simba wazee kuwa scavengers na kuwinda wanyama dhaifu ama hata binadamu.
 
Mbona hiyo picha ya kawaida sana.
Kweli Mkuu hiyo picha ni ya kawaida sana, lakini ukawaida wake unaisha kutokana na tukio lenyewe lilivyo.Hapa tunaongelea uhai wa mtu, na kwa hali hii ndipo ukawaida wa picha unapotoweka mara.

Hawa jamaa ni hatari sana hasa kwa watu wanaoishi jirani na mbuga za wanyama...

Mmh, hii picha ina kila dalili ya kuchakachuliwa. Simba amekaa mkao wa kuwa mzima akila mzoga, na huku nyuma kuna jamaa anamsogelea. Huyu simba amekuwa pasted. Naona kawekwa tu pembeni ya mtu aliyejeruhiwa kwa sababu nyingine kabisa.
 
Alikuwa anataka kumla jamaa baada ya kumshambulia, lakini aliwahi kuuawa na askari wa wanyama pori (huyo anayemsogelea)...........haijachakachuliwa.
 
Kwanza nikimuona tu nahisi ntakuwa mwepesi ghafla baada ya ku discharge haja zote ghafla
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom