ChescoMatunda JF-Expert Member Jan 7, 2009 1,232 442 Nov 30, 2013 #1 Dawa ya walio na silaha... Wakikutembelea kwako jihami hivi.. Attachments 1385818475420.jpg 53.4 KB · Views: 453
honeypay Member Oct 10, 2013 41 22 Nov 30, 2013 #3 Hahahahaha tutaoana kweli nimechekaje Sent from my BlackBerry 9380 using JamiiForums
kadakokigondile JF-Expert Member May 17, 2013 1,872 634 Nov 30, 2013 #4 Mama Manka ngoja ni msachi huuyu isijekuwa amegombana na Manka akatufyatua rrrsasiii aaiseeeee na kirisimassi ni imekaribia tukakosa mbege
Mama Manka ngoja ni msachi huuyu isijekuwa amegombana na Manka akatufyatua rrrsasiii aaiseeeee na kirisimassi ni imekaribia tukakosa mbege
kichomiz JF-Expert Member Feb 28, 2011 19,011 11,942 Nov 30, 2013 #5 Kilichobaki ni kubaguana kwenye maswala ya kuoana.
Ladymasa JF-Expert Member Oct 2, 2013 877 335 Dec 1, 2013 #6 Baba V said: Akina Mangi kazi kwao.. Click to expand... Mkuu taratibu
Ladymasa JF-Expert Member Oct 2, 2013 877 335 Dec 1, 2013 #7 kadakokigondile said: Mama Manka ngoja ni msachi huuyu isijekuwa amegombana na Manka akatufyatua rrrsasiii aaiseeeee na kirisimassi ni imekaribia tukakosa mbege Click to expand... Wewe ni nouma mawzo yako yapo kwenye mbege tu mkuu umenichekesha daah!!!!!
kadakokigondile said: Mama Manka ngoja ni msachi huuyu isijekuwa amegombana na Manka akatufyatua rrrsasiii aaiseeeee na kirisimassi ni imekaribia tukakosa mbege Click to expand... Wewe ni nouma mawzo yako yapo kwenye mbege tu mkuu umenichekesha daah!!!!!