Hii imekaeje Mkulu wa USA akipata Kikombe cha babu Loliondo

199454_109483322466874_100002156216423_84342_1365460_n.jpg

Photoshop
 
acha ujinga kama huna cha kupost si usome za wengine, hapa sio kijiweni kudanganyana, tunataka michango yenye akili. Lini Obama kaja kwa Babu kupata kikombe?

umetumwa kusoma si uende kwenye post zako za umbea jukwaa la wakubwa!!!
loh ata wewe kidole juu!!ngoja nikutafutie nyimb ya taaribu ikufae vyema
 
acha ujinga kama huna cha kupost si usome za wengine, hapa sio kijiweni kudanganyana, tunataka michango yenye akili. Lini Obama kaja kwa Babu kupata kikombe?

Huyu sio kosa lake, huenda hata hajui yuko jukwaa gani.
user-offline.png
fidodido

29th March 2011 12:46 PM
#2
Member
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png



<dl class="userstats">Join Date : 5th January 2011
Posts : 21
<dt>Thanks</dt> <dd>0</dd> Thanked 14 Times in 5 Posts

</dl> <dl class="user_rep">Rep Power : 0
</dl>



Kama unadhani huna muda wa mzaha basi njoo kule jukwaa la siasa, lakini uje na hoja na si viroja.
 
Mkuu naomba unifundishe hako kaujanja nimekapenda kweli da! upo juu.
 
kikombe muhimu nashangaa maggid mjengwa anavyopiga vita kikombe .
 
Yes, huyu Naibu Katibu Mkuu UN ni vizuri aende akapate kikombe. Mama tibaijuka sijui amekwenda tayari manake nae amekaa mkao wa kikombe!

Influence ya huyu mama kwa Tanzania sijaiona kabisa akiwa kama mmoja wa top officials katika hii dunia. Sijawahi msikia akisema chochote chenye mashiko tangu akabidhiwe huo wadhifa au kuifanyia chochote Tanzania zaidi ya ziara tu za kumsalimia JK ikulu. Sijui kama ataendelea kubaki ktk huo wadhifa baada ya kipindi cha kwanza kuisha December 31, mwaka huu. Tatizo wanasiasa wa kibongo walivyo, akitoka huko atakuja kugombea ubunge ! But, ngoja tusubiri may be mazuri yanakuja.
 
Back
Top Bottom