Hii imekaeje Mkulu wa USA akipata Kikombe cha babu Loliondo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hii imekaeje Mkulu wa USA akipata Kikombe cha babu Loliondo

Discussion in 'Jamii Photos' started by Mpasuajipu, Mar 29, 2011.

 1. Mpasuajipu

  Mpasuajipu JF-Expert Member

  #1
  Mar 29, 2011
  Joined: Oct 22, 2010
  Messages: 838
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  [​IMG]
   
 2. f

  fidodido Member

  #2
  Mar 29, 2011
  Joined: Jan 5, 2011
  Messages: 85
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 15
  acha ujinga kama huna cha kupost si usome za wengine, hapa sio kijiweni kudanganyana, tunataka michango yenye akili. Lini Obama kaja kwa Babu kupata kikombe?
   
 3. Masikini_Jeuri

  Masikini_Jeuri JF-Expert Member

  #3
  Mar 29, 2011
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 6,809
  Likes Received: 364
  Trophy Points: 180
  Hongera mpasua jipu kwa usanii mzuri....nimecheka sana
   
 4. Masikini_Jeuri

  Masikini_Jeuri JF-Expert Member

  #4
  Mar 29, 2011
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 6,809
  Likes Received: 364
  Trophy Points: 180
  Nawe ka huna cha kuchangia za wengine changia za kwako tu!
   
 5. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #5
  Mar 29, 2011
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Good for the eyes!
  Inafurahisha...nAONA MWENYEJI WAKE anachungulia!
   
 6. Mpasuajipu

  Mpasuajipu JF-Expert Member

  #6
  Mar 29, 2011
  Joined: Oct 22, 2010
  Messages: 838
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Mimi sio mjinga kama babu yako usifikiri kila post lazima iwe ya kuelimisha. Hii post ni kwa ajili ya kufurahisha na kurelax mind.
  Ujinga wako unakufanya usiweze kucomment na kukurupuka kama Nkuchiro ametoka shimoni. Umedumaa kimawazo:juggle:
   
 7. Mpasuajipu

  Mpasuajipu JF-Expert Member

  #7
  Mar 29, 2011
  Joined: Oct 22, 2010
  Messages: 838
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Joined 5th Jan, 2011
  Post 21
  Thanks 0:smash:
   
 8. I

  Ikunda JF-Expert Member

  #8
  Mar 29, 2011
  Joined: Jul 12, 2010
  Messages: 722
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  hahaaaaaaaaaa imekaa njema u made ma day. na ameshika vikombe vingine vya mawaziri wake nini? lol
   
 9. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #9
  Mar 29, 2011
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,916
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  Wewe nawe kama umeamka na hasira zako, meza kaa la moto.
   
 10. Shomari

  Shomari JF-Expert Member

  #10
  Mar 29, 2011
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 1,107
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Kuna mtu amekulazimisha?, naona wewe ndio hauna cha kuchangia!
   
 11. B

  Batale JF-Expert Member

  #11
  Mar 29, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 1,068
  Likes Received: 443
  Trophy Points: 180
  Photo shop
   
 12. pmwasyoke

  pmwasyoke JF-Expert Member

  #12
  Mar 29, 2011
  Joined: May 27, 2010
  Messages: 3,584
  Likes Received: 189
  Trophy Points: 160
  Ni utabiri kwamba babu ataitiisha dunia
   
 13. Muro

  Muro Senior Member

  #13
  Mar 29, 2011
  Joined: Oct 27, 2010
  Messages: 168
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hongera good jokes:lol::lol::lol:
   
 14. R

  Renegade JF-Expert Member

  #14
  Mar 29, 2011
  Joined: Mar 18, 2009
  Messages: 3,769
  Likes Received: 1,074
  Trophy Points: 280
  Nzuri, ingekuwa kweli.............!
   
 15. St. Paka Mweusi

  St. Paka Mweusi JF-Expert Member

  #15
  Mar 30, 2011
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 5,900
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145


  Mkuu japo siamini na siwezi kuamini kwamba Obama kaenda kupata Kikombe lakini tu naomba ujue kuwa wakati mwingine Rais wa Marekani anaweza kupotea na hata Usalama wa Taifa wa America wasijue yuko wapi na vilevile watu mashuhuri wengi sana huwa wanaingia nchini kwetu kwa kufuata sheria zote na vyombo vya habari visijue,hivyo si vyema kumshambulia mtoa mada namna hii,labda nikuulize tu wakati Zenedine Zidane anakuja kupanda mlima Kilimanjaro ulijua au wakati Mike Tyson alipokuja kutazama live volcano Oldonyo Lengai ulijua?
   
 16. M-bongotz

  M-bongotz JF-Expert Member

  #16
  Mar 31, 2011
  Joined: Jan 7, 2010
  Messages: 1,732
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  Hebu mcheki kiranja wa dunia akipata kikombe
   

  Attached Files:

 17. Venant Ben

  Venant Ben Senior Member

  #17
  Mar 31, 2011
  Joined: Nov 29, 2010
  Messages: 155
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Obbama.jpg
  Mhhh,jamaa kapigilia pamba mbovu mbovu,co suti kama kawa ili tusimtambue?
   
 18. Kivumah

  Kivumah JF-Expert Member

  #18
  Mar 31, 2011
  Joined: Jan 7, 2008
  Messages: 2,413
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  ...photoshop mania
   
 19. Ms Judith

  Ms Judith JF-Expert Member

  #19
  Mar 31, 2011
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 2,569
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  duh, pichaduka sio mchezo!
   
 20. Elia

  Elia JF-Expert Member

  #20
  Mar 31, 2011
  Joined: Dec 30, 2009
  Messages: 3,442
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  picha inafurahisha...... Good work! Good art! :yield:
   
Loading...